unaweza kujizuia kula mkuu? Why?Kujizuia ngono, ni sehemu mojawapo ya watu kujifunza namna ya kucontrol miili, na kuweza kutimiza malengo yao na kutokua mtumwa wa mwili.
Ngono, chakula, commitment ya mazoezi, meditations etc....
Watu wanafanya hivyo vitu kwa mafanikio makubwa, na usiwe mbishi au kuwa na hisia..hata wewe ukiamua unaweza - UWE NA PURPOSE tu, usifanye kwa fanny
Blaza una miaka mitano hujaona ndani..🤔🤔Habari wanaJF
kuna kitu nmejaribu kuexperience, nna 5 years now nimechoose kua CELIBATE lakini nimeanza kuona vitu in different pictures na nmekuja kugundua lust ndo inafanya wanawake waonekane more attractive than we think lakin sio kweli.
And since day nimechoose kua CELIBATE hakuna siku nme experience PROCRASTINATION na nimekua na CONSISTENCY ya hali ya juu sana actually im not the same person I used to be.
Nanimekuja kujua kua GRATIFICATION ndo znatufanya watu tuone ulimwengu wa sasa huwez kuishi bila ngono lakin sio kweli
NGUVU YAKO YA KIUME IPO KWENYE SEMEN RETENTION
BRAZA marmaid?Blaza una miaka mitano hujaona ndani..🤔🤔
Au umemaanisha nini?
Miaka ya nyuma kidogo wakati sioni uelekeo wa maisha yangu. Nikijifanyia tathmini na kuangalia kitu natakiwa kuacha na kipi natakiwa kuanza kufanya. Moja ya maamuzi bora kabisa ambayo binafsi naona yamebadilisha sana maisha yangu kwa uzuri, ni kuamua kuachana kabisa na suala la mahusiano na mademu kwa kipindi cha mwaka mmoja.Habari wanaJF
kuna kitu nmejaribu kuexperience, nna 5 years now nimechoose kua CELIBATE lakini nimeanza kuona vitu in different pictures na nmekuja kugundua lust ndo inafanya wanawake waonekane more attractive than we think lakin sio kweli.
And since day nimechoose kua CELIBATE hakuna siku nme experience PROCRASTINATION na nimekua na CONSISTENCY ya hali ya juu sana actually im not the same person I used to be.
Nanimekuja kujua kua GRATIFICATION ndo znatufanya watu tuone ulimwengu wa sasa huwez kuishi bila ngono lakin sio kweli
NGUVU YAKO YA KIUME IPO KWENYE SEMEN RETENTION
I feel you bro , hapa Masimp hawawez elewa, mana wananyenyekea ili malipo yao yawe ngono.Miaka ya nyuma kidogo wakati sioni uelekeo wa maisha yangu. Nikijifanyia tathmini na kuangalia kitu natakiwa kuacha na kipi natakiwa kuanza kufanya. Moja ya maamuzi bora kabisa ambayo binafsi naona yamebadilisha sana maisha yangu kwa uzuri, ni kuamua kuachana kabisa na suala la mahusiano na mademu kwa kipindi cha mwaka mmoja.
Ilinisaidia kusave hela, iliniongezea concentration kwenye kila ninachokifanya pia niliweza kuona manipulations zote jinsi wanaume tunavyotapeliwa katika harakati za kuanzisha na kumantain mahusiano. Mpaka leo siogopi maisha ya usingle maana nishasurvive katika nyakati ambazo nilikua peke angu
Nyege zinawaondolea namna nzuri ya kufikiri vijana.kutokufanya ngono huashiria hujakamilika! Lakini kama umekamilika hisia lazima zitakufanya ufanye tu,ngono ni sehemu ya maisha, fikria mtu hafanyi ngono,anaangalia porn anajichukulia sheria mkononi na inampelekea kuathirika kisaikolojia, ni ukweli usiopingika kuwa usipofanya ngono kabisa ni hasara kuliko faida,na ukifanya kupita kiasi vilevile. So inakulazimu na si ombi ufanye kwa kiasi.
☕☕Target ni 10 solid years, na ntaifikisha
Kweli kabisa tujifunze self control.Ngono tukubali au tukatae ni kama aina yoyote ya ulevi. Na mbaya zaidi kwa upande wetu wanaume Tunaiabudu sana kiasi kwamba tunakuw Easily Manipulated na wanawake...
kwa hiyo utakaa muda gani? Hutaoa? Hutaki watoto?Habari wanaJF
kuna kitu nmejaribu kuexperience, nna 5 years now nimechoose kua CELIBATE lakini nimeanza kuona vitu in different pictures na nmekuja kugundua lust ndo inafanya wanawake waonekane more attractive than we think lakin sio kweli.
And since day nimechoose kua CELIBATE hakuna siku nme experience PROCRASTINATION na nimekua na CONSISTENCY ya hali ya juu sana actually im not the same person I used to be.
Nanimekuja kujua kua GRATIFICATION ndo znatufanya watu tuone ulimwengu wa sasa huwez kuishi bila ngono lakin sio kweli
NGUVU YAKO YA KIUME IPO KWENYE SEMEN RETENTION
They just don't understand, you kna'mean? Niqqas comin' sideways, thinkin' stuff is sweet, man! Niqqas don't understand the four devils!! Lust, envy, hate, jealousy.Habari wanaJF
kuna kitu nmejaribu kuexperience, nna 5 years now nimechoose kua CELIBATE lakini nimeanza kuona vitu in different pictures na nmekuja kugundua lust ndo inafanya wanawake waonekane more attractive than we think lakin sio kweli.
And since day nimechoose kua CELIBATE hakuna siku nme experience PROCRASTINATION na nimekua na CONSISTENCY ya hali ya juu sana actually im not the same person I used to be.
Nanimekuja kujua kua GRATIFICATION ndo znatufanya watu tuone ulimwengu wa sasa huwez kuishi bila ngono lakin sio kweli
NGUVU YAKO YA KIUME IPO KWENYE SEMEN RETENTION
LUST ndo final BOSS wa deadly sins , na hapa ndo msingi wa kila kitu ulipo kama tu utaweza kukwepa LUSTThey just don't understand, you kna'mean? Niqqas comin' sideways, thinkin' stuff is sweet, man! Niqqas don't understand the four devils!! Lust, envy, hate, jealousy.