Baada ya kuanza kukaa mbali na ngono (Celibacy) nimeanza kuhisi mabadiliko

Tupe mbinu
 
Mallerina Uzuri sipo karibu sana na wanawake hata interest zipo chini sana kwhyo mpaka ifike stage ya mwanmke kunipenda vizur nadhani miaka yangu 10 ya ucelibate itakua imetimia
Everything happens for a reason
What made you choose celibacy to the extent of avoiding women🤔
Are you trying the be picky in choosing partner
 
Everything happens for a reason
What made you choose celibacy to the extent of avoiding women🤔
Are you trying the be picky in choosing partner
Kua CELIBATE hakunifanyi mm niwe picky kwa wanawake, ni personal reason tu and I have nothing to do with women kwahyo kwahyo hata kigezo cha kua picky nadhani hakipo kabsa
hili suala ni ME vs ME
 
Ukiwa na miaka 30+ na una afya kamili ngono ni hitaji la msingi, vinginevyo una tatizo la nguvu, changamoto ya kimaumbile, tatizo la kupata mwenza/mshiriki, au kutaka kuhamasika katika uhusisno wa jinsia moja.
Nilijua tu mada kama hizi hujawahi kosa🤣🤣
 
ANDIKA KWA KISWAHILI TUELEWE
Habari wanajukwaa wa JF,
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikilijaribu kwa uzoefu binafsi. Kwa sasa nina takribani miaka mitano tangu nichague kuishi maisha ya kujisitiri (celibacy). Tangu wakati huo, nimeanza kutambua mambo mbalimbali—hasa kupitia picha tofauti—tofauti zinazonijia na kuniamsha hisia za tamaa. Hali hii imekuwa ikisababisha wanawake kuonekana kuwa wavutio zaidi kuliko uhalisia ulivyo, jambo ambalo si la kweli.
Tangu nichague kuishi maisha ya kujisitiri, sijawahi tena kukumbwa na tatizo la kuahirisha mambo (procrastination). Aidha, nimepata kiwango cha juu sana cha uthabiti (consistency) katika maisha yangu. Kwa hakika, mimi si yule mtu niliyekuwa awali.
Pia nimegundua kuwa kutafuta raha za haraka (gratification) ndiko kunakowafanya watu wengi wa kizazi cha sasa waamini kuwa hawawezi kuishi bila ngono, jambo ambalo si sahihi.
Nguvu ya mwanaume ipo katika kudhibiti na kuhifadhi mbegu (semen retention).
 
I lived that life of total celibacy for five good years! Its a wonderful experience when get used to it
 
Hii ni aina nyingine ya mental illness,acha maneno mengi wewe ni hanithi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…