Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #81
Yes alifanya mistake sana kwa mtazamo wangu mimiMistake ila watakwambia sio lazima aende na vyombo vya habari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes alifanya mistake sana kwa mtazamo wangu mimiMistake ila watakwambia sio lazima aende na vyombo vya habari.
"WTF" ndio nini?
Duuuh, basi wewe ni mtaalam wa lugha hii ya malkia. Mkuu, wewe ni kiboko.Tusi la kiingereza
Duuuh, basi wewe ni mtaalam wa lugha hii ya malkia. Mkuu, wewe ni kiboko.
Hahahahaaaa sawa Nshomile. Mupe, MurukeYes of course. Infact kule kwetu bukoba ndio tulikuwa wa kwanza kuongea kiingereza Tanzania and by the way wasomi wanatokea huku kwetu tunawaita nshomile.
Mpe muda atarekebisha hapo. Mzee yule ni muungwana saaanaYes alifanya mistake sana kwa mtazamo wangu mimi
Tanzania kama ulaya sasaXiaomi, techno, huawei ni mitandao ya makampuni makubwa ya simu. Katika soko la uchina kampuni ya apple inatafuta market share ya kutosha.
.
Wamezuia mahindi
Tunazuia blueband, pipi, kiwi, dawa ya meno. Tutatengeneza za kwetu na hii ni fursa kwa watanzania kuwekeza katika viwanda
Bwawa la umeme la julius nyerere linakaribia kukamilika
Hususan sisi wa mkoa wa GeitaTanzania ndio nchi iliyojaa waungwana dunia nzima
Hii nchi ina amani saaana mpaka rahaNdio uhuru wa kitanzania huu mkuu
Hayo ni matunda ya mwalimu NyerereHii nchi ina amani saaana mpaka raha
Hahahahaaaaa, si ulisemaga wewe ni mmakonde? Leo unajiita wa Geita?Hususan sisi wa mkoa wa Geita
Baada ya miaka 20 itakuwa zaidi ya UlayaTanzania kama ulaya sasa
Mbona miaka 20 bado mingi sana? Mwambie 9 tuBaada ya miaka 20 itakuwa zaidi ya Ulaya
Hata huo umakonde wenyewe hana au labda wa Msumbiji ndio maanaHahahahaaaaa, si ulisemaga wewe ni mmakonde? Leo unajiita wa Geita?
Huyu baba yetu mzee Nyerere hakika alikuwa shujaa wa taifaHayo ni matunda ya mwalimu Nyerere
Pamoja na mzee Karume wa ZanzibarHuyu baba yetu mzee Nyerere hakika alikuwa shujaa wa taifa
Ni suala la uungwana tu na sio la kikatibakipind hiki sio cha kutembeleana.una uhakika gan pia kama hajaenda
? imeandikwa wap kwenye katiba
Msumbiji hatuwataki hapa Tanzania kwetuHata huo umakonde wenyewe hana au labda wa Msumbiji ndio maana