Nyamambara
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 407
- 330
Ndani ya miaka 9 JPM ataifanya Tanzania kuwa nchi ya maziwa na asali. Mungu ambariki sana Rais wetu.Mbona miaka 20 bado mingi sana? Mwambie 9 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndani ya miaka 9 JPM ataifanya Tanzania kuwa nchi ya maziwa na asali. Mungu ambariki sana Rais wetu.Mbona miaka 20 bado mingi sana? Mwambie 9 tu
Mtu amekaa amefikiri kaandika. Yaani tunatafutiza vya kuandika du!
Magufuli juu zaidiBaada ya miaka 20 itakuwa zaidi ya Ulaya
Mawinguni kuwa malaika mkuu ?Magufuli juu zaidi
Hivi Geita ni Wilaya au Mkoa?Hahahahaaaaa, si ulisemaga wewe ni mmakonde? Leo unajiita wa Geita?
Zamani ilikuwa ni Wilaya ila kwa sasa ni mkoaHivi Geita ni Wilaya au Mkoa?
Geita bado ni Wilaya mpaka sasa mkuu, acha ubishiZamani ilikuwa ni Wilaya ila kwa sasa ni mkoa
Mkuu wa wilaya ndio boss baada ya Raisnahitaji kujua kati ya katibu mkuu kiongozi na waziri mkuu nani yuko juu ya mwenzie kicheo?
wewe kopo kiuchwaniMkuu wa wilaya ndio boss baada ya Rais
Unanijua mimi ni nani?wewe kopo kiuchwani
Unanijua mimi ni
umeolewa?
Wewe genius kichwaniwewe kopo kiuchwani
Hivi unajua kopo ina maana gani kwetu sisi wahaya?wewe kopo kiuchwani
Tangia lini wewe Mchagga umekuwa Muhaya?Hivi unajua kopo ina maana gani kwetu sisi wahaya?
mlikuwa mnamchuria Jiwe hadi akakwapuliwa maana Sifa zilizidi wakati hamna loloteMagufuli juu zaidi
Alikuwa anajaza fomu za maadili ya viongozi wa umma?"Alikuwa political figure and he was not a public servant"
Mtoa mada inamaana umeshindwa kujua Maana ya public servant? Bashiru alikuwa public servant kwasababu alikuwa kiongozi wa CCM ambao Ni Umma wa Watanzania. Usifikirie public servant ni mtumishi wa umma tu,lahasha ni mtu yoyote anayewatumikia Watu na analipwa kutokana na michango yao au Kodi zao.
So don't be confused brother
Hamna lolote kwako ila kwetu sisi JPM ni shujaa wa milele.mlikuwa mnamchuria Jiwe hadi akakwapuliwa maana Sifa zilizidi wakati hamna lolote