Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana

Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana

"Alikuwa political figure and he was not a public servant"
Mtoa mada inamaana umeshindwa kujua Maana ya public servant? Bashiru alikuwa public servant kwasababu alikuwa kiongozi wa CCM ambao Ni Umma wa Watanzania. Usifikirie public servant ni mtumishi wa umma tu,lahasha ni mtu yoyote anayewatumikia Watu na analipwa kutokana na michango yao au Kodi zao.
So don't be confused brother
Alikuwa anajaza fomu za maadili ya viongozi wa umma?
Hata hivyo kwa mtazamo mpana Sana hata wafanyakazi wa mabenki yote , hospital zote, makampuni ya simu na taasisi zingine zote za Aina hiyo
Wote ni watumishi wa umma
 
Back
Top Bottom