Baada ya kubainika ufisadi wa kutisha, anataka kujifichia kwenye Mradi Bandari ya Bagamoyo?

Bunge hili la Askofu gwajima hakiwezi kujadili suala hili kwa vile bado wengi wao wapo kwenye simanzi.
 
Kama hayati JPM alishasema kwamba ni mwendawazimu mlevi pekee ndio anaweza kuyakubali msharti ya mkataba huo, na hayo masharti ameyataja wazi, sasa kama hayo masharti ni uongo hayapo humo, si waweke wazi huo mkataba ili tuone kama JPM alikuwa anawasingizia?
 
Mikataba yenye utata kama hii, ni mhimu Sana iwekwe mezani na kuchambuliwa Kwa uwazi
 
Hivi huyo siejii ametoa pia na taarifa ya matibabu ya huyo spika kweli kipindi kile wakati anaumwa??

Manake napo pesa zilizotumika nasikia ni balaa
Tunahitaji kufahamu hili pia
 
Mikataba yenye utata kama hii, ni mhimu Sana iwekwe mezani na kuchambuliwa Kwa uwazi
WATANZANIA TUSIRUDIE MAKOSA, TUKIREJEA MIKATABA YA GESI MTWARA KWA MUJIBU WA ZITTO KABWE TULIPIGWA PIA
 
Hili la bandari mtamuenea tu speaker , pamoja na kwamba simpendi Ndugai lakin kwa hili hapana alishawahi liongelea bungeni kuwa huu mradi una faida nyingi kuliko hasara ,gafla mwenda zake akaanza kebeh juu ya mradi huo ,basi kwakuwa mkubwa ni mkubwa ikabid akubaliane nae tu kishingo upande lakin kwa hil job hakuweka unafki kabisa.

Hata Kama mtu Ana mapunguf basi asibebeshwe lawama pale anaposema ukwel ,job yuko sahihi kbs na kwahil ntampambania kabisa tofaut na wengine ambao hawakuwah sema lolote kipind uchwara akiwa hai
 
Mh Raisi, ni wakati muafaka sasa kulivunjilia mbali Bunge hili ambalo ni hasara tupu kwa Taifa , na likiachwa hivihivi, tutakuja tena kuandika hayahaya kipindi chako, maana hili Bunge halitimizi wajibu wake,
 
Turajuwaje Sisi, Kwa nini aseme Mkataba wake haufai tena? Yeye Hana msimamo? Tutajuaje, je kama aliahidiwa lupia ili aupige Kampeni bungeni??

Hapa ni Mkataba kuwekwa mezani Kwa kuchambuliwa basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…