Msambichaka Mkinga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 1,649
- 2,911
Unaoweza kuorodhesha mikataba angalao 3 ya wakati wa JK iliyokuwa yabkipigaji, na angalao mikataba mitatu ya wakati wa marehemu ambayo ilikuwa mizuri? Na kila upande ukaelezea ubaya na uzuri wake?Ukweli ni kuwa ukifanya comparison analysis ukiwa objectively kabisa kati ya mikataba iliyoingiwa wakati wa JK na ile ya wakati wa JPM utaona mikataba karibia yote ya wakati wa JK ilikuwa ya kipigaji kuliko ya wakati wa JPM.
Unaoweza kuorodhesha mikataba angalao 3 ya wakati wa JK iliyokuwa yabkipigaji, na angalao mikataba mitatu ya wakati wa marehemu ambayo ilikuwa mizuri? Na kila upande ukaelezea ubaya na uzuri wake?
Hii nchi yaanEti, Raisi hakushauriwa vizuri kuhusu mradi wa ujenzi bandari ya Bagamoyo, Wakati huohuo yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali, alikuwa wapi?
Raisi wetu amefariki ndo kunampa mwanya wa kumwandama na kumkandia kila Neno Baya, sasa tunataka mtwambie kama Kweli kazi yenu ni kuishauri serikali na kuisimamia
Kabla ya tamko lako Jana kuhusu ujenzi na uwekezaji wa bandari ya Bagamoyo, uliwahi pia kutamka kwamba, mradi huo ni hasara Kwa Serikali Kwa jinsi Mkataba wake ulivyokaa, na kama ndivyo, wewe ndiye umetufanya kama Taifa tuchelewe kuwa na mradi huo, unapaswa kujibu hili
Sasa Sisi tushike lipi?
Najiuliza, Yeye kama mkuu wa mhilimili huo, anaongoza chombo chenye kazi ya kuishauri na kuisimamia serikali, Alikuwa wapi, mbona alitaka Raisi aongezewe muda wa kutawala? Si ni yeye jamani au ni mwingine!! Je, hakuwa analiona tatizo la ufisadi uliokuwa unaendelea?
Kwa tarifa ya CAG imeibua madudu makubwa na ufisadi wa kutisha, badara ya yeye na mawaziri wote kama sio Bunge loote kuwajibike Kwa kushindwa kuisimamia serikali anaibuka na Jambo la ajabu tu ili kutuondoa kwenye Hilo la ufisadi, hivi mnaaibu kweli nyinyi watu!
Tukionyesha hasira zetu wananchi tuliowatuma kwenda kusimamia rasilimali zetu mnatutumia wasiojulikana, ni Sawa Kwani kufa ni kutangulizana Tu
Tunalitaka Bunge liwajibike katika hili, la sivyo mtuambie ni Kwa nini mlitaka Raisi aongezewe muda
Tunataka pia, mradi wa Ujenzi bandari ya Bagamoyo, Mkataba wake uwekwe mezani tuambie yaliyomo na Kisha Bunge loote livunjwe, Kwani ni hasara tupu!!
Acha tupige [emoji2484][emoji2484][emoji2484]
Kumbe hamuaminiki tena!!
Fanya research kama uko interested;Unaoweza kuorodhesha mikataba angalao 3 ya wakati wa JK iliyokuwa yabkipigaji, na angalao mikataba mitatu ya wakati wa marehemu ambayo ilikuwa mizuri? Na kila upande ukaelezea ubaya na uzuri wake?
Mimi Hadi nimeingiwa na wasiwasi pia na mkaguzi wa Hesabu za serikaliKuna namna watu wanatafuta maslahi upande wa pili na mpango maalum wa kuonyesha madudu ya aliyepita ili watu wajue alikuwa mbaya na wao wapate nafasi kufanya kazi under no pressure
Na kama kila serikali ikija na mpango mkakati wake hakika kufika mbali itakuwa ngumu sana kila anayekuja anaona aliyetangulia ni mbaya
Bunge la sasa halina tija yoyote. LiVUNJWE tuu, au ndugai aondoleweTunataka pia, mradi wa Ujenzi bandari ya Bagamoyo, Mkataba wake uwekwe mezani tuambie yaliyomo na Kisha Bunge loote livunjwe, Kwani ni hasara tupu!!
HAPANA, ni kazi yake.. vinginevyo atakuwa Kama robotiAnapokuja na swala la Stendi ya Magufuli eti itasababisha msongamano, hii tunaweza kuita ni kujaribu kuzima yoote mazuri ya JPm
Mambo mengine yana shangaza kidogo - hivi tangu lini mkaguzi wa fedha za serikali akawa Engineer wa ujenzi?Mambo ya kusema eti ujenzi wa stand ya mabasi utasababisha msongamano wa magari, huo utafiti aliufanya lini akiwa na lengo gani kama hiyo sio kujiingiza katika masuala ambayo hayamuhusu ie hana taaluma nayo.Mimi Hadi nimeingiwa na wasiwasi pia na mkaguzi wa Hesabu za serikali
Yeye ni mkaguzi wa fedha tu na kushauri namna Bora ya matumizi ya fedha
Anapokuja na swala la Stendi ya Magufuli eti itasababisha msongamano, hii tunaweza kuita ni kujaribu kuzima yoote mazuri ya JPm
Huyi hatufai tenaNilikuwa nadhani supika (spika )ni mtu mkubwa sana na ana access ya kuomba kuonana na mh rais muda mwingi na kama ndio hivyo je alishindwa hata kumnong'oneza? aah jamani yaani uso wa mbuzi watu wanauchuna
Mkaguzi wetu ana maajabu bossMambo mengine yana shangaza kidogo - hivi tangu lini mkaguzi wa fedha za serikali akawa Engineer wa ujenzi?Mambo ya kusema eti ujenzi wa stand ya mabasi utasababisha msongamano wa magari, huo utafiti aliufanya lini akiwa na lengo gani kama hiyo sio kujiingiza katika masuala ambayo hayamuhusu ie hana taaluma nayo.
Mkaguzi ana timu ya wataalamu, shule mlienda kusomea ujinga?Mkaguzi wetu ana maajabu boss
Hahahaaa!!Mkaguzi ana timu ya wataalamu, shule mlienda kusomea ujinga?
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Hakupenda kushauriwa na ameboronga vibaya mno bado mtaona uozzo.Eti, Raisi hakushauriwa vizuri kuhusu mradi wa ujenzi bandari ya Bagamoyo, Wakati huohuo yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali, alikuwa wapi?
Raisi wetu amefariki ndo kunampa mwanya wa kumwandama na kumkandia kila Neno Baya, sasa tunataka mtwambie kama Kweli kazi yenu ni kuishauri serikali na kuisimamia
Kabla ya tamko lako Jana kuhusu ujenzi na uwekezaji wa bandari ya Bagamoyo, uliwahi pia kutamka kwamba, mradi huo ni hasara Kwa Serikali Kwa jinsi Mkataba wake ulivyokaa, na kama ndivyo, wewe ndiye umetufanya kama Taifa tuchelewe kuwa na mradi huo, unapaswa kujibu hili
Sasa Sisi tushike lipi?
Najiuliza, Yeye kama mkuu wa mhilimili huo, anaongoza chombo chenye kazi ya kuishauri na kuisimamia serikali, Alikuwa wapi, mbona alitaka Raisi aongezewe muda wa kutawala? Si ni yeye jamani au ni mwingine!! Je, hakuwa analiona tatizo la ufisadi uliokuwa unaendelea?
Kwa tarifa ya CAG imeibua madudu makubwa na ufisadi wa kutisha, badara ya yeye na mawaziri wote kama sio Bunge loote kuwajibike Kwa kushindwa kuisimamia serikali anaibuka na Jambo la ajabu tu ili kutuondoa kwenye Hilo la ufisadi, hivi mnaaibu kweli nyinyi watu!
Tukionyesha hasira zetu wananchi tuliowatuma kwenda kusimamia rasilimali zetu mnatutumia wasiojulikana, ni Sawa Kwani kufa ni kutangulizana Tu
Tunalitaka Bunge liwajibike katika hili, la sivyo mtuambie ni Kwa nini mlitaka Raisi aongezewe muda
Tunataka pia, mradi wa Ujenzi bandari ya Bagamoyo, Mkataba wake uwekwe mezani tuambie yaliyomo na Kisha Bunge loote livunjwe, Kwani ni hasara tupu!!
Acha tupige 🏋️🏋️🏋️
Kumbe hamuaminiki tena!!