Baada ya kufanya nae mapenzi aliniachia laki moja na ujumbe unaosomeka "nimepata ninachotaka"

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Hali vipi wana JF!

Niingie moja kwa moja kwenye kisa changu :

👉Nilipata mwanadada kama miezi mitatu hivi iliyopita 29 of age nikawa nakula nae gud time namtoa out kwenye viwanja vyetu vya bei ya kawaida,

👉Basi siku ya siku juzi jumamosi weekend tukaenda lodge moja hivi tukafanya yetu Ila asubuhi aliwahi kuondoka kabla yangu baadae naamka mzee nakuta laki moja mezani kuingia kwenye phone nakuta message inasomeka kama kwnye screenshot hapo chini👇

👉Sasa sijajua Huyu bidada tulijibishana message za mbili, hakujibu tena nadhani alinitia block maana Kila nilipo piga siku nilikuta inatumika

👉Sasa swali ni je hiyo laki kaacha ya nini 👉hiyo message Ina maana gani?

Maana kama ni kupima ngwengwe(HIV na STD's zingine no nimekuta) fresh

Sasa wataalamu atakua na maana gani 🤔

Screenshot_20250128_192827.jpg
 
Ushapoteza mtoto kwa laki 1, Kuna Dada nilisoma naye High school miaka hiyo akaenda Sweden kusoma, akakaa huko akazaa, akaachika, akaja Tanzania kutembea, akaniomba uja uzito hata kwa pesa, ila kamwe nisiulizie mtoto, labda huko baadae yeye aone haja ya mtoto kunifaham, nikagoma kabisa!
 
Hali vipi wana JF!
Niingie moja kwa moja kwenye kisa changu :
👉Nilipata mwanadada kama miezi mitatu hivi iliyopita 29 of age nikawa nakula nae gud time namtoa out kwenye viwanja vyetu vya bei ya kawaida,
👉Basi siku ya siku juzi jumamosi weekend tukaenda lodge moja hivi tukafanya yetu Ila asubuhi aliwahi kuondoka kabla yangu baadae naamka mzee nakuta laki moja mezani kuingia kwenye phone nakuta message inasomeka kama kwnye screenshot hapo chini👇

👉Sasa sijajua Huyu bidada tulijibishana message za mbili, hakujibu tena nadhani alinitia block maana Kila nilipo piga siku nilikuta inatumika

👉Sasa swali ni je hiyo laki kaacha ya nini 👉hiyo message Ina maana gani?

Maana kama ni kupima ngwengwe(HIV na STD's zingine no nimekuta) fresh

Sasa wataalamu atakua na maana gani 🤔
Usharogwa wewee
 
Ushapoteza mtoto kwa laki 1, Kuna Dada nilisoka naye High school miaka hiyo akaenda Sweden kusoma, akakaa huko akazaa, akaachika, akaja Tanzania kutembea, akaniomba uja uzito hata kwa pesa, ila kamwe nisiulizie mtoto, labda huko baadae yeye aone haja ya mtoto kunifaham, nikagoma kabisa!
Hii imekaa POA
 
Hali vipi wana JF!
Niingie moja kwa moja kwenye kisa changu :
👉Nilipata mwanadada kama miezi mitatu hivi iliyopita 29 of age nikawa nakula nae gud time namtoa out kwenye viwanja vyetu vya bei ya kawaida,
👉Basi siku ya siku juzi jumamosi weekend tukaenda lodge moja hivi tukafanya yetu Ila asubuhi aliwahi kuondoka kabla yangu baadae naamka mzee nakuta laki moja mezani kuingia kwenye phone nakuta message inasomeka kama kwnye screenshot hapo chini👇

👉Sasa sijajua Huyu bidada tulijibishana message za mbili, hakujibu tena nadhani alinitia block maana Kila nilipo piga siku nilikuta inatumika

👉Sasa swali ni je hiyo laki kaacha ya nini 👉hiyo message Ina maana gani?

Maana kama ni kupima ngwengwe(HIV na STD's zingine no nimekuta) fresh

Sasa wataalamu atakua na maana gani 🤔
Ngwengwe inaanza kuonekana baada ya miezi mitatu sasa ufresh gani unauzungumzia.
 
Back
Top Bottom