Baada ya kufanya nae mapenzi aliniachia laki moja na ujumbe unaosomeka "nimepata ninachotaka"

Usingemjibu ungekausha, ukimya ni jibu la kimungu, ukikaa kimya mtu maswali yote huwa anajijibu mwenyewe
Kabisa hii adhabu ya kutokumpa mtu jibu huwa hiyo kitu inamtafuna mtu sana nina Ex-G mmoja huyo tulishindwana miaka miwili iliyopita kwa mara ya kwanza akaniandikia meseji ya matusi sikujibu, akatukana kwa meseji mfululizo kama 20+ sikujibu akakakaa kimya baada ya wiki mbili akaanza kuomba msamaha kwa matusi aliyonitukana sikujibu pia.

Sasa sahivi huwa inapita hata miezi 6 mi nimeshamsahau mara meseji zinaanza tena, huyu adhabu yake sitamjibu chochote hadi siku naingia kaburini
 
Kuna jamaa hapa kitaa anawaburuza mabinti kwelikweli kwa kuwa ana ahueni kiuchumi.
Kila binti anayetembea naye anahakikusha ameondoka na ile 'bidhaa'; anaondoka na zana au anamfuta binti na leso na kuondoka nayo. Anahakikusha mwanamke hajifuti.
Wanawake wenyewe wameanza kusimulia visa
 
Hali vipi wana JF!

Niingie moja kwa moja kwenye kisa changu :

👉Nilipata mwanadada kama miezi mitatu hivi iliyopita 29 of age nikawa nakula nae gud time namtoa out kwenye viwanja vyetu vya bei ya kawaida,

👉Basi siku ya siku juzi jumamosi weekend tukaenda lodge moja hivi tukafanya yetu Ila asubuhi aliwahi kuondoka kabla yangu baadae naamka mzee nakuta laki moja mezani kuingia kwenye phone nakuta message inasomeka kama kwnye screenshot hapo chini👇

👉Sasa sijajua Huyu bidada tulijibishana message za mbili, hakujibu tena nadhani alinitia block maana Kila nilipo piga siku nilikuta inatumika

👉Sasa swali ni je hiyo laki kaacha ya nini 👉hiyo message Ina maana gani?

Maana kama ni kupima ngwengwe(HIV na STD's zingine no nimekuta) fresh

Sasa wataalamu atakua na maana gani 🤔

View attachment 3216781
Alikuwa anataka mbegu zako kama alivyoagizwa na Karumanzila.

Wadada wa mujini hiyo biashara wanaifanya na inawaingizia pesa nyingi sana, acheni Unzizi holela vijana.
 
Hali vipi wana JF!

Niingie moja kwa moja kwenye kisa changu :

👉Nilipata mwanadada kama miezi mitatu hivi iliyopita 29 of age nikawa nakula nae gud time namtoa out kwenye viwanja vyetu vya bei ya kawaida,

👉Basi siku ya siku juzi jumamosi weekend tukaenda lodge moja hivi tukafanya yetu Ila asubuhi aliwahi kuondoka kabla yangu baadae naamka mzee nakuta laki moja mezani kuingia kwenye phone nakuta message inasomeka kama kwnye screenshot hapo chini👇

👉Sasa sijajua Huyu bidada tulijibishana message za mbili, hakujibu tena nadhani alinitia block maana Kila nilipo piga siku nilikuta inatumika

👉Sasa swali ni je hiyo laki kaacha ya nini 👉hiyo message Ina maana gani?

Maana kama ni kupima ngwengwe(HIV na STD's zingine no nimekuta) fresh

Sasa wataalamu atakua na maana gani 🤔

View attachment 3216781
nyota yako kaiba 😎
 
Amesha pata nyota yako pambana na hali yako. Or kirusi kimeshakuzagaa
 
VIjana mnaambiwa muache kufanya ngono ovyo ovyo....haya sasa Nyota yako ndio ishasepa ivo usipokuwa makini umaskini ndio hautakuacha.
Iyo laki ni ya kukusaidia siku mbili tatu kabla umaskini na Shida hazijaanza Rasmi.
 
Back
Top Bottom