Baada ya kufanya nae mapenzi aliniachia laki moja na ujumbe unaosomeka "nimepata ninachotaka"

Baada ya kufanya nae mapenzi aliniachia laki moja na ujumbe unaosomeka "nimepata ninachotaka"

Kwani huyo jeodevi ni nani hapo dar naona jina lake linatajwa tajwa humu ?
Yupo Arusha ni nabii mkuu anagawa magari
1000021364.jpg
 
Hali vipi wana JF!

Niingie moja kwa moja kwenye kisa changu :

[emoji117]Nilipata mwanadada kama miezi mitatu hivi iliyopita 29 of age nikawa nakula nae gud time namtoa out kwenye viwanja vyetu vya bei ya kawaida,

[emoji117]Basi siku ya siku juzi jumamosi weekend tukaenda lodge moja hivi tukafanya yetu Ila asubuhi aliwahi kuondoka kabla yangu baadae naamka mzee nakuta laki moja mezani kuingia kwenye phone nakuta message inasomeka kama kwnye screenshot hapo chini[emoji116]


[emoji117]Sasa sijajua Huyu bidada tulijibishana message za mbili, hakujibu tena nadhani alinitia block maana Kila nilipo piga siku nilikuta inatumika

[emoji117]Sasa swali ni je hiyo laki kaacha ya nini [emoji117]hiyo message Ina maana gani?

Maana kama ni kupima ngwengwe(HIV na STD's zingine no nimekuta) fresh

Sasa wataalamu atakua na maana gani [emoji848]

View attachment 3216781
Pole bahari kikubwa upo safe, songa mbele
 
Back
Top Bottom