Baada ya kufanya nae mapenzi aliniachia laki moja na ujumbe unaosomeka "nimepata ninachotaka"

Alikua na genye sana hivyo umezisalula hana tena ham nawewe
 
Nadhani hukunielewa ama hauwezi kuelewa!
Rudia kusoma nilichoeleza kwenye comment.
Sperm donner hakutani kimwili na mwanamke receptor.
Ndio nimesema kwamba nagawa mbegu kwa mwanamke anaetafuta mimba anicheck PM namtia mimba ataendelea kulea mtoto na ataishi maisha yake nitaishia kuona amejifungua nitahakiki watoto wanafanana na mimi basi hivyo yaan mengine atajua yeye mimi kazi yangu ni kutoa mbegu tu, kwa yoyote alie tayari PM ipo wazi anitafute, nasisitiza wale walioshindwa kushika mimba wanaotafuta mtoto nawapa kipaombele kikubwa asiwe mgonjwa tu
 
Sperms ni mtoto?
Wanaopiga punyeto mabafuni wanapoteza kijiji au Wilaya?

Akili huna, mtoto anapozaliwa ni identity yako, kuna mazara yake, na akipita changamoto yeyote inaweza Kuwa na shida kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…