Baada ya kufanya nae mapenzi aliniachia laki moja na ujumbe unaosomeka "nimepata ninachotaka"

Baada ya kufanya nae mapenzi aliniachia laki moja na ujumbe unaosomeka "nimepata ninachotaka"

Hali vipi wana JF!

Niingie moja kwa moja kwenye kisa changu :

👉Nilipata mwanadada kama miezi mitatu hivi iliyopita 29 of age nikawa nakula nae gud time namtoa out kwenye viwanja vyetu vya bei ya kawaida,

👉Basi siku ya siku juzi jumamosi weekend tukaenda lodge moja hivi tukafanya yetu Ila asubuhi aliwahi kuondoka kabla yangu baadae naamka mzee nakuta laki moja mezani kuingia kwenye phone nakuta message inasomeka kama kwnye screenshot hapo chini👇


👉Sasa sijajua Huyu bidada tulijibishana message za mbili, hakujibu tena nadhani alinitia block maana Kila nilipo piga siku nilikuta inatumika

👉Sasa swali ni je hiyo laki kaacha ya nini 👉hiyo message Ina maana gani?

Maana kama ni kupima ngwengwe(HIV na STD's zingine no nimekuta) fresh

Sasa wataalamu atakua na maana gani 🤔

View attachment 3216781
Alikua na genye sana hivyo umezisalula hana tena ham nawewe
 
Nadhani hukunielewa ama hauwezi kuelewa!
Rudia kusoma nilichoeleza kwenye comment.
Sperm donner hakutani kimwili na mwanamke receptor.
Ndio nimesema kwamba nagawa mbegu kwa mwanamke anaetafuta mimba anicheck PM namtia mimba ataendelea kulea mtoto na ataishi maisha yake nitaishia kuona amejifungua nitahakiki watoto wanafanana na mimi basi hivyo yaan mengine atajua yeye mimi kazi yangu ni kutoa mbegu tu, kwa yoyote alie tayari PM ipo wazi anitafute, nasisitiza wale walioshindwa kushika mimba wanaotafuta mtoto nawapa kipaombele kikubwa asiwe mgonjwa tu
 
Sperms ni mtoto?
Wanaopiga punyeto mabafuni wanapoteza kijiji au Wilaya?

Akili huna, mtoto anapozaliwa ni identity yako, kuna mazara yake, na akipita changamoto yeyote inaweza Kuwa na shida kwako
 
Back
Top Bottom