Baada ya kufika BASATA na kuambiwa hawamtambui kama msanii, Giggy Money amwaga chozi na kusema hakuna uhuru tena!

Baada ya kufika BASATA na kuambiwa hawamtambui kama msanii, Giggy Money amwaga chozi na kusema hakuna uhuru tena!

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971


Giggy Money asema yeye ataongea na naibu waziri kama wanavyotaka. Anasema hakuna uhuru tena hakuna mtu anaweza kuwa na uhuru tena.

Pia Giggy Money anasema wamemjaji kwa picha ya March mwaka jana, na anasema wamemuambia kuwa tangu ameanza kuwa video queen alitakiwa ajitambulisha BASATA. Giggy anasema yeye hajawaahi kusiia haki ya video queen pamoja na kulia mara nyingi kila malipo madogo [elfu 20]

Inavyosemekana bado hajaitikia wito mpaka aonane na Naibu waziri japo BASATA amefika. Amesema kuwa "nilivyotakiwa kufanya leo nimejua na ninachotakiwa kufanya, bado hawanitambui kama msanii na nitajisajili"

Giggy asema hatachoka kufuatilia haki yake na ana uhakika ameacha kukaa nusu utupu kwa miaka miwili sasa. Ni tofauti kumjaji kwa mambo ya nyuma. Na watu wengi wamefanya mambo yao nyuma.

Giggy asema ana mimba ya miezi 7 sasa, na anashangaa kuambiwa kapiga picha ya utupu

"Kikubwa nadhani si nyimbo ni mimi kwa sababu kama ni nyimbo, nyimbo ngapi zina tungo tata? Mwanaume mashine unaelewa nini? Wowo? Na kila mtu anajua wowo ni makalio. Papa ni samaki, kwanini mtu ulazimishe iwe maana nyingine? Papa nimesema ni samaki. Haya wengine wanaimba nyuma laini kama burger, what do you get?"
 
Safi sana BASATA huyu ni msanii wa kada ipi kwanza?
 
Jana alipost kavideo ka kuwazodoa waliomuita..... Leo akaenda kwa mbwebwe na baby pembeni anampa kampani full kutembea kwa nyodo... Hahaaa alivyotoka huko ndani full time kuchirizwika machozi...

Kweli kila zama na wababe wake
 
25036234_285026625358790_9055682971587051520_n.jpg
 
Hahah there is no freedom kwenye kutoa papa eeh,hahah
 
Back
Top Bottom