Baada ya kufika BASATA na kuambiwa hawamtambui kama msanii, Giggy Money amwaga chozi na kusema hakuna uhuru tena!

Baada ya kufika BASATA na kuambiwa hawamtambui kama msanii, Giggy Money amwaga chozi na kusema hakuna uhuru tena!

Giggy Money asema yeye ataongea na naibu waziri kama wanavyotaka. Anasema hakuna uhuru tena hakuna mtu anaweza kuwa na uhuru tena.

Pia Giggy Money anasema wamemjaji kwa picha ya March mwaka jana, na anasema wamemuambia kuwa tangu ameanza kuwa video queen alitakiwa ajitambulisha BASATA. Giggy anasema yeye hajawaahi kusiia haki ya video queen pamoja na kulia mara nyingi kila malipo madogo [elfu 20]

Inavyosemekana bado hajaitikia wito mpaka aonane na Naibu waziri japo BASATA amefika. Amesema kuwa "nilivyotakiwa kufanya leo nimejua na ninachotakiwa kufanya, bado hawanitambui kama msanii na nitajisajili"

Giggy asema hatachoka kufuatilia haki yake na ana uhakika ameacha kukaa nusu utupu kwa miaka miwili sasa. Ni tofauti kumjaji kwa mambo ya nyuma. Na watu wengi wamefanya mambo yao nyuma.

Giggy asema ana mimba ya miezi 7 sasa, na anashangaa kuambiwa kapiga picha ya utupu

"Kikubwa nadhani si nyimbo ni mimi kwa sababu kama ni nyimbo, nyimbo ngapi zina tungo tata? Mwanaume mashine unaelewa nini? Wowo? Na kila mtu anajua wowo ni makalio. Papa ni samaki, kwanini mtu ulazimishe iwe maana nyingine? Papa nimesema ni samaki. Haya wengine wanaimba nyuma laini kama burger, what do you get?"

Tuseme ukweli, kwani Giggy ni msanii au changudoa anayelazimisha kujulikana?
 
Muuza K huyo.....Acha wapewe hekaheka watoto wetu wasome elimu na sio kutazama uchi zao kila Mara......
Mara paap!!...Shonza huyoooo muonane naye kijana mwenzenu msimkimbie!!!hahahhaa
 
Yani badala ya kushughulika na changamoto zinazowakumba wasanii ili kukuza hiyo sekta wanakazania kuwafungia tu kila siku.

Huu ni upuuzi. Huyo Naibu waziri kama angekua ni mpenda maadili sana angeanza na yule mdogo wake ambae ni msagaji.
Hivi kwanza waziri mzima unapata wapi muda wa kuanza kufatilia nani kaposti nini mtandaon hao BASATA wanafanya kazi gani!!!!.

Halafu unafungia akina Gigi kwa kigezo Cha maadili huku unawapa kiki wale wabaka watoto.

Huu ni Upuuzi wa kiwango Cha SGR.
 
Kwani wewe gigi ulivyoitwa na waziri si ulidharau ukaenda benzutta,, Sasa unalia ni chango nimekubana nn,, tulia ngoja unyolewe ulimzarau waziri kwasbbu unapesa na unamzidi urefu wa kuruka sauth,,, pumbavuuu, Mnyaturu wa wapi Mtani Wangu
 
Hivi huyo jamaa aliempatia mimba Giggy mapesa ilikuwaje akaenda with no condomisation, nimgeni nahuyo Giggy?
Teh teh teh. Ebw eeh, usisitaajabu ya firauni ukayashangaa ya mussa?
Kuna wanaume wanawabebesha mimba kinamama vichaa wa sokoni, ama waathirika wa ukimwi tena wanaofahamika, sembuse huyo?
Baadhi ya wanaume wamekaa kama mbwa ujue!
Akisikia harufu ya "heat" popote bila kujali umbali, madhara wala mazingira, wao ni "kujipeleka" tu.
 
Mimi binafsi inaniuma kwa serikali inachokifanya kuhusu hawa wadada maana siamini kama sitaona tena mapaja yalionona mitandaoni ...
 
Yani badala ya kushughulika na changamoto zinazowakumba wasanii ili kukuza hiyo sekta wanakazania kuwafungia tu kila siku.

Huu ni upuuzi. Huyo Naibu waziri kama angekua ni mpenda maadili sana angeanza na yule mdogo wake ambae ni msagaji.
Hivi kwanza waziri mzima unapata wapi muda wa kuanza kufatilia nani kaposti nini mtandaon hao BASATA wanafanya kazi gani!!!!.

Halafu unafungia akina Gigi kwa kigezo Cha maadili huku unawapa kiki wale wabaka watoto.

Huu ni Upuuzi wa kiwango Cha SGR.
Watashughulikia matatizo ya wasanii ilihali hawana uwezo huo?

Bongo watu wanachoweza ni kuzia hili na lile hawawezi kuboresha kitu.
 
Nyuma laini Kama burger?? Hizi nyimbo ndio maana huwa sizisikilizi
 
Watashughulikia matatizo ya wasanii ilihali hawana uwezo huo?

Bongo watu wanachoweza ni kuzia hili na lile hawawezi kuboresha kitu.
Lakini uwezo wa kuwalipia studio wabaka watoto wanao!!!! Si ndio!?
 
Back
Top Bottom