Baada ya kufika BASATA na kuambiwa hawamtambui kama msanii, Giggy Money amwaga chozi na kusema hakuna uhuru tena!

Baada ya kufika BASATA na kuambiwa hawamtambui kama msanii, Giggy Money amwaga chozi na kusema hakuna uhuru tena!

Yaan mwez ujao tu utasikia mimi namuunga mkono laisi wangu kwa kuchapa kazi na kujal wasanii,
 
Ampe papa Mkuu wa basata papa samak mtamu sana ila ukimeza mfupa utalia !!!
 
Mbona kila wanapo rudi huko wanarudi wanalia hv wanawafanyiaga nini watoto wa masikini... Vp Wale kimboka, uwanja wa fisi nao wapelekwe basata na waziri wa utamaduni na michezo ili tuunde mfumo wa kukusanya kodi [emoji23] tz ya viwonder naona gigy Money anazuia viwonder
 
Ikiwa Gigy money hajasajiliwa inabidi Naibu waziri anyooshe maneno yake ya wito kuwa anaita wale watumiaji wa mtandao wa Instagram asiwasingizie kuwa ni wasanii wakati hata baraza la sanaa haliwatambui. Sijui Juliana aliokotwa wapi. Anafanya kazi kama matron wa sekondari

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Watanzania na waafrika tunashida kichwani,mzungu alitukuta uchi akatufundisha kuvaa nguo baada ya kuona sisi kukaauchi tunapata faida kubwa sana kushinda yeye,leo tuna muiaga kukaa uchi iliokuwa asili yetu maneno yakuwa mengi.Basi ccm na wenzie tafadhali msizipe trend habari zisizo na mpango kuondoa mawazo na tafakuri za watz kuhusu habari ya Lissu tafuteni hoja zenye mashiko nchi hii inashida nyingi zaidi ya kudandia habari za kina gigy money
 
Kwani wewe gigi ulivyoitwa na waziri si ulidharau ukaenda benzutta,, Sasa unalia ni chango nimekubana nn,, tulia ngoja unyolewe ulimzarau waziri kwasbbu unapesa na unamzidi urefu wa kuruka sauth,,, pumbavuuu, Mnyaturu wa wapi Mtani Wangu
Usifananishe Wanyaturu na Vitu vya Kijinga....Gigy ni Mtu wa Mbeya.
 
Watu wanasota, wanahangaika alafu inakuja misenge flan inasema haikutambui.

Ila gigy yule mama uliyemzingua pale Sinza laana zake zinakuhusu hapa
 
Kiufupi hao basata ni wapumba.. Wanafanya kazi kwa mihemko.
Huyu kada wa chadema shonza anawapelekesha tu.
 
hivi yule kahaba sanchoka kapotelea wapi? bado yupo Instagram?
 
Unawafungia wasanii kwa ukosefu wa maadili huku unajifungia na wake za watu na kuwavua picchu. Unafiki na undumilakuwili hautawaacha wahusika salama.

Yani badala ya kushughulika na changamoto zinazowakumba wasanii ili kukuza hiyo sekta wanakazania kuwafungia tu kila siku.

Huu ni upuuzi. Huyo Naibu waziri kama angekua ni mpenda maadili sana angeanza na yule mdogo wake ambae ni msagaji.
Hivi kwanza waziri mzima unapata wapi muda wa kuanza kufatilia nani kaposti nini mtandaon hao BASATA wanafanya kazi gani!!!!.

Halafu unafungia akina Gigi kwa kigezo Cha maadili huku unawapa kiki wale wabaka watoto.

Huu ni Upuuzi wa kiwango Cha SGR.
 
Kwahilo nawaunga mkono basata, wametusumbua mno insta na papa zao hawana huruma
 
Back
Top Bottom