Baada ya kufika BASATA na kuambiwa hawamtambui kama msanii, Giggy Money amwaga chozi na kusema hakuna uhuru tena!

Baada ya kufika BASATA na kuambiwa hawamtambui kama msanii, Giggy Money amwaga chozi na kusema hakuna uhuru tena!

Hapa ndio ujue bongo watu hawajui nini cha kufanya unakuwaje mwanamuziki hujajisajili hata haki zako utadai vipi sasa?!
 
Wasanii wetu bado wana ujinga mwingi ndio maana baadhi ya wajuvi hutumia nafasi hii kuwaliza...
Hivi utadai vipi haki zako ikiwa hata vyombo husika havikutambui na hujafanya jitihada za kujisajili kama msanii?
Ni rahisi sana kumdhurumu msanii yeyote ambaye hajasajiliwa basata na wala hajakwenda kusajili kazi zake.....hata akienda mahakamani lazima ashindwe.....
 
Katibu Mkuu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa, Godfrey Ngereza amesema kwamba hawajampatia adhabu yoyote msanii Gigy Money kwa sababu siyo wao waliomwita na badala yake akaonane na Naibu Waziri wa sanaa habari na Utamaduni Mh. Juliana Shonza.

giggy%20papa.jpg

Akizungumza na www.eatv.tv muda mfupi baada ya msanii huyo kutoka BASATA, Mh. Ngereza amesema kwamba wao walichokuwa wakisisitiza kwa msanii huyo ni kuitikia wito wa Mh Shonza na siyo kumpatia hukumu.

Kwa upande wa Msanii Gigy Money amedai kwamba hakuna uhuru tena na atajitahidi kwenda kuonana na Naibu Waziri kama jinsi ambavyo BASATA walivyopmtaka kufanya.

"There is No freedom....Hakuna uhuru tena....Hakuna. Nitaongea na Naibu Waziri kama wanavyodai. Mtu anakuja kukujaji picha ya 'March' last Year...wananiambia pia hata kipindi nikiwa video vixen nilikuwa natakiwa kujitambulisha Basata, sijawahi kusikia haki ya 'video vixeni' mara ngapi nimelia mitandaoni kwa kulipwa elfu 20. Nitaongea naye naamini haki yangu itapatikana". Gigy Money

Gigy Money ni moja ya wasanii ambao waliitwa jana na Naibu Waziri Juliana Shoonza kufika ofisini kwake kwa kukiuka maadili kwenye kazi zake za sanaa.
 
Wasanii wetu bado wana ujinga mwingi ndio maana baadhi ya wajuvi hutumia nafasi hii kuwaliza...
Hivi utadai vipi haki zako ikiwa hata vyombo husika havikutambui na hujafanya jitihada za kujisajili kama msanii?
Ni rahisi sana kumdhurumu msanii yeyote ambaye hajasajiliwa basata na wala hajakwenda kusajili kazi zake.....hata akienda mahakamani lazima ashindwe.....
Sasa hapo ndo umeandika nin na li kiswahili lako bovu.. shenzii kbsa
 
Acha sheria ichukue mkondo wake...
Na siyo yeye tu, wote wenye tabia kama zake...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom