Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Ahaa kumbe ndio maana kichwani kwake kwa nyuma ana kama kovu hivi au kile ni kipara. Ila toka awali nilihisi ingawa huyu mzee anaonekana ana matatizo ya kiakili, lakini kuna uwezekano alikua apate fedha flani, ndio maana anazitaja taja kila mara.
yeahhh..au wakati nati zinalegea alidhulumiwa kitu flani
 
Kweli aisee
 
Hii habari kesho itapamba Magazeti ya Udaku sipati picha!

Utasikia wakiandika....
"Kwa mujibu wa uchunguzi wa kina wa gazeti hili, Dr. Shaka......."

Kumbe wameikuta habari JF
Kumbe mkuu umeshayashtukia magazeti mkuu huwa yanavutia na ni mazuri kwa nje ila zama ndani mapicha kurasa nzima
 
Mmh!!
 
Kula tano mkuu na kwa 100% nakubaliana na wewe mkuu.

Kuna mtu eti anahoji KBG anaweza kuwatoroka kindezi ndezi,naweza kusema Dr Louis kwa maelezo yake na kwa appearance yake unaweza kumuona kama mtu dhaifu. Lakini anaweza mtu aliyepitia mafunzo makubwa sana.
 
Unaweza ukawa una point ya msingi!
 
Administration.

Company: Lancefort Ltd.

Type of Business: Manufacture, Export, Import.

Banker: Bank for foreign trade Vneshtorgbank

Working hours: 12-16 GMT

17-20 GMT.

Phones: words 7-095-139-91-86

Fax 7-095-246-20-20

Web Site: Lancefort

E- mail: Lancefort@msn.com

Snail mail: 125284 Moscow, P. O. Box 9, Moscow � Russia.

President: Louis S Kid

General Director: Dr. Lunyalula KRS

Executive Director: Butina Nataly Alexandrovna

Director for International Affairs and First PS to the President: Gracheva Olga Mihailovna

Production and Sales Director:Krasnoborova Julia Sergeevna

Chief Accountant: Shaova Iren Yurievna

Board of Directorate: The board of directorate consists of all the above under the chairmanship of Gorbachev MS

NB: All correspondence should be addressed to: The Director for International Affairs.

Back to the general list

Сайт управляется системой uCoz
 
inatosha chief...usiseme yote!
 
Huyu bwana ana akili timamu, hajarukwa akili kama wengi tulivyoamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…