Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

bado watanzania stujarizika na mambo ya luis shika kwann ubaloz wa urusi aukufanya utaratibu wa kumlinda mtanzania ambye alikuwa analeta maendeleo ktk nchi yao na kuja kumsababishia kuwa kituko katka jamii yetu
 
uyo ni bilioner wa kibongo na kama vp hzo pesa zake watu wa bot.. wazifuatilie ili zimfikie salama bila mashaka yeyote
 
una uhakika aliye kuambia kuwa hakumaliza masomo alikuwa sahihi? na kwanini hati ya kusafiria ina onesha kama Dr. hivyo alipeleka viambatanishi gani kuonesha kuwa ni Dr.

Polisi walisema kuwa ni mbabaishaji hawezi kuwa hata na million moja, kwanini mbabaishaji wameruhusu ajizamini? lakini wakina lissu na wengine wenye zaidi ya million moja kujizamini ni mbinde?

na huyo lecturer chizi amefukuzwa kazi? au bado ana fundisha? na vipimo vy Dr vilipelekwa kuwa ni chizi? na kama chizi alafu haja fukuzwa au kuachishwa kazi ni kwanini?
 

ni ngumu kwa marekani na raia wake kupenetrate na kufanya ujasusi urusi pasipo kugundulika kirahisi, Zamani sana wamarekani walitumia watu kutoka mataifa mengine kwende kusoma urusi na kufanya uspy huku wakiwa sponsored kwa siri na USA, pia CIA huwanunua warusi wenyewe wa KGB na wengine uraini wasiokubaliana na mienendo ya kirusi, CIA pia hutumia mbinu hizi kwa ISIL na ALQUEDA au hata ALSHABAB kwa kupandikiza mujahidina wenzao kutoka mataifa tofauti tofauti na kuiba information..

Agent yeyote ambaye si mzawa wa taifa husika ni rahisi kutumika na kutupwa maana anaweza kujua siri za adui lakini siri za mabosi wake asizijue, Huyu Dr kama alitumika na CIA aliiijua Urusi lakini hakuijua USA hivyo hawezi kuwa kitisho kwa USA bali ni asset kwa KGB maana anaweza kujua baadhi ya informer ndani ya KGB na Urusi..
CIA agent ambaye ni raia wa USA amesoma, kukulia USA na uagent ameuanzia USA ni rahisi kujua ya USA kuliko agent asiye mzawa au aliyepandikizwa, hawa huwa na mipaka..
 

rudi umsome shika na akili yako umeifunga sana....tukio la kutekwa limetokea 2004..then 2005 akaja bongo akaa mda mfupi kisha akatokomea zake spain mpaka 2013 akarudi tena bongo...anakiri wazi kuwa wazaz wake walishakufa wote na hivyo hana haja ya kwenda kwao...

swali dogo nikulize ..kama alikamatwa na kutekwa na panyaroad wa russia..kwa nini alihisi wanamfatilia hata baada ya kurudi tz ..na kwa nini alitoroka kwenda spain..?

kwa mateso yale ungekuwa wewe ungekufa chap..lakini the legend dr shika alikuwa na mbinu za kutegesha mguu na pipa lisifunge vizur.. na katikati ya mateso yale akili yake ilikuwa inafanya kazi vizuri mpaka akakumbuka mafunzo aliyopea kama hayo ya kuwa mtu akiwa amelala ukimwangalia machoni anaamka..na kubana pumbu ili mbwa wasibweke...lakini pia unadhan nguvu ya kuruka ukuta huku vidole baadhi vimekatwa ni kazi ndogo na majeraha mwili mzima??..kwa kifupi the guy is far ahead of you and very intelligent...period
 
Koinange na akhbu walikuwa na shika, ila inasemekana alipewa madawa ya warusi ya kumpoteza akili
 
Mkuu hukumsikia alipokuwa anahadithia hasa pale aliposema (sijui kwa kupitiwa/makusudi) kwamba jamaa hawa wa KGB WALINIPONDA KIDOLE KWA NYUNDO MPAKA MFUPA UKAUNGANA NA NYAMA!?
Ndio nilisema ukweli anaujua mwenyewe, nachohisi huyu alifanya u double agent Ndio wakamalizana nae, kumbuka 2000s russia walikua na chuki mbaya kabisa kwa US na bado waskie kuna kinyamkera anauza issue zao, tena black.
Ndo unaishia hapo alipo dk shika.
 
Mnamkumbuka yule mwehu mwingine anajita Marandu sijui aliyemuita Magu Mbwa youtube.
Yuko US navy sijui ama kachukua selfie tu na vifaru.
Km yuko Navy basi ndo jamii hii .
 
hiyo website haijafunguliwa leo imefunguliwa mwaka 1999 wanaosema ni feki. feki inadumu miaka yote hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…