Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
eeh bibiye tena ni mzuriKumbe ana mke wa ki-Russia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eeh bibiye tena ni mzuriKumbe ana mke wa ki-Russia
AMESAIDIWA NA FICEMAisee, maneno mengi yanaungana na ukweli, ila in reality unawezaje kuwatoroka KGB kindezi ndezi kama alivyosema yeye?
na wewe ni wa huko...?Naguma muno ....tuliyo
una uhakika aliye kuambia kuwa hakumaliza masomo alikuwa sahihi? na kwanini hati ya kusafiria ina onesha kama Dr. hivyo alipeleka viambatanishi gani kuonesha kuwa ni Dr.unajua uongeaji wa kisomi wa dr shika umewachanganya,hawa wangekutana na yule lecturer aliyedata pale CBE wangekimbia,labda hawajawaji kukutana na vichaa wanaoongea hadi lugha zote za dunia..Mzee kachanganyikiwa sasa imekuja issue ya u SPY ndo imewachanganya wartu kabisa
Mtu unaambiwa alitopea kwenye ulevi akashindwa kumaliza hata masomo huko Russia bado hawaelewi,walahi soma kitabu cha Kalugin utajua hata torture cells za KGB walivyokuwa wana operate ,eti dr shika aliwatoroka KGB
Stupidddddddddddddddddddddddddddddddddd
Ila hapo kwenye kujidhamini mwenyewe Nina mashaka napo.
Polisi wa bongo wakwambie ujidhamini mwenyewe? Sijuiii
NshazoeaWew nawe wafanyaje hukko au naww spy,
Vipi, hawakuiti nyani?
yaani watu wakkisikia issues za CIA,KGB wanakuwa fascinated,mass hysteria kabisa hii embu jiheshimuni bana,yaani CIA itumie watanzania na wakenya walioingia kama wanafunzi kuipeleleza Russia?Russia??????Russia? Get the hell outta here,hapa bongo kwenyewe wanakuja kwa style za peace corps na issue nyingine za ku volunteer au kutumia watu wlaio katika embassy zao,naomba msome ESPIONAGE STORIES especially za cold war uone jinsi hawa mabwana walivyokuwa wana operate...
Huyu mzee hakuna anayekataa ni genius lakini ameongea uongo muda mrefu mpaka ameanza kuamini uongo and he stands by it
Tafuta hata mtu anayedanganya umri,akiurudia uongo mara nyingi yeye mwenyewe huanza kuuamini.
Jana nime search majina ya hao ma executives wa hiyo kampuni anayosema ni yake,hahahahahahahaha...JUST HAHAHA
For your information,CIA hawana historia ya kuwatupa watu wao kirahisi hata kama ni MOLES ndiyo maana kipindi cha cold war wengi kama Oleg kalugin wali defect to USA NA Kutunzwa vyema,ilihali upande wa pili walio defect from CIA to KGB kama KIM PHILLBY waliishia pabaya hadi kufa sababu Russians hawajali
NARUDIA TENA,HAIWEZEKANI CIA AU NSA WAKAJUA KUNA MTU ANA SIRI ZAO KAJIFICHA TABATA NA HALI ILE YA MAISHA ,SINCE 2000 MTU YUPO TANZANIA KAPIGIKA NYIE MNA FASCINATE TU HAPA,UNAAMBIWA BABA YAKE KAFA IN 2005 HAKWENDA KUZIKA INGAWA ALIKUWA DAR NA HADI LEO AKIPIGA SIMU NYUMBANI ANAWAAMBIA WAMSALIMIE BABA
CAMON GUYS. SINYWI HII CHAI YA RANGI. NOOOOOOOOOO

Koinange na akhbu walikuwa na shika, ila inasemekana alipewa madawa ya warusi ya kumpoteza akiliWasomi wa zamani kidogo wa siri sirini wanajua kabisa kuwa
Katika maisha yako dunia hii yenye blocks mbili mahasimu wa ubepari na ujamaa...(Kwa Africa) waogope sana hawa watu wachache miongoni mwa wengine (Labda kama wamekufa au kuchanganyikiwa)
- Edward Koinange (KE)
- Edgar Manase Laizer (Mtz)
- Yunus Akhibu (S L)
- Luis Shika (Tz)
- Mary Nomvete (S.A)
- Josephine Emeka (Nig)
Hao hata wakiota lazima watamke USA.
Ndio nilisema ukweli anaujua mwenyewe, nachohisi huyu alifanya u double agent Ndio wakamalizana nae, kumbuka 2000s russia walikua na chuki mbaya kabisa kwa US na bado waskie kuna kinyamkera anauza issue zao, tena black.Mkuu hukumsikia alipokuwa anahadithia hasa pale aliposema (sijui kwa kupitiwa/makusudi) kwamba jamaa hawa wa KGB WALINIPONDA KIDOLE KWA NYUNDO MPAKA MFUPA UKAUNGANA NA NYAMA!?
Pole sana mkuu.Swali: Kwanini Dr Lous Shika amechanganyikiwa au ni mbinu za CCM ilitusahau tukio la Lissu?
Kwa kipi?Pole sana mkuu.
Sjui ni ww mtoa mada au ndo watu wamecopy and paste