Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Nimepata kusikia mabalozi wetu wakitoa majibu ya kukatisha tamaa kwa raia wetu wanapoenda kuomba Msaada. Sipendi kuandika hapa ila nashauri wawajulishe RAIA wote kuwa yeyote atakae kwama ughaibuni ajitegemee asitegemee Msaada wa ubalozi wetu.
 
Naanza kupata mwanga kwa hili tukio na huyu mtu..kuna mambo yanafanyika hapa duniani ukisimuliwa unaweza dhani ni hadithi za juma na uledi..
Umeona! Ndo maana majirani wanasema huwa anaamua kukaa ndani muda mrefu bila kutokq. Na kwa maelezo yake Shika anasema amezaa na wanawake 3 ila hana mke. Huenda anajua kazi yake ndo maana hakutaka kujiweka kwenye family commitments.
 
Nimepata kusikia mabalozi wetu wakitoa majibu ya kukatisha tamaa kwa raia wetu wanapoenda kuomba Msaada. Sipendi kuandika hapa ila nashauri wawajulishe RAIA wote kuwa yeyote atakae kwama ughaibuni ajitegemee asitegemee Msaada wa ubalozi wetu.
Umepata kuwasikia mabalozi au maofisa wa ubalozini?
 
kwa hiyo unatuaminisha dk. shika alijitengenezea hii website kabla ya kwenda mnadani?then he is smthn else
Mm naamini hvo, na kuna walio mtumia kuplan hyo issue ya kuvuruga mnada na Yono wakilijua hlo..
Wanaojua Historia yake ....Magu people ndyo waliomtumia..
Hadi leo hyo pesa haijaingia...si akalipie hzo nyumba...
... Hyo website haifanani na ukubwa wa kampuni lake....haaaa

P.O.BOX 9, Moscow, Russia .
 
Mkuu naona unawa crush watu kwa kujiamiiiini wakati details zako unategemea kwenye vitabu.... Kazi ipo!!
 
Kwa kutunga mpo safi sana.

Mchezo wa kuigiza. Kunasiku nitashuha nondo!
Kweli, kwa kutunga nami nimewakubali....wasio kuwa na akili za ziada wataamini hyo story ya kutunga juu ya shika...haaaaa haaaa
P.o. box 9, Moscow, Russia ..
 
hii web imetengenezwa mwaka 1999
 
mwongo kama wewe sijawahi kumwona

web site faki; haifai kabisa

maelezo ya dr niyauwongo ya kutudanganya tulioishia manzese,

money transfer kwa cheque? dunia gani.

kama mmepiga uwongo si muwe waledi? hata matapeli wa tunduma wanawazidi

vipi
Nina wasiwasi na ama masikio yako au uelewa wako mkuu.
 
Asee naanza kuwa na wasiwasi wako mkuu

Yawezekana unaongea vitu usivyovijua. Ninathibitisha kwa asilimia 100 wapo ambao hawajulikani kama ni watz. Walio kwenye umoja au ambao hawapo kwenye umoja lakini wakajulikana ni wale wenye sababu zao maalumu.

Hapo ninawajua watanzania wengi ambao wameingia nchi hiyo lakini wanatambulika ni wa mataifa tofauti tofauti ya afrika
Walio wengi ni kutoka.
afrika kusini
Kenya
Naijeria
Ghana
Na wachache wanatambulika kama kutoka Ethiopia.

Waliowengi hujitambulisha kama watanzania pale wanapokuona unaweza kuwa mtu wa aina yao.

Nadhani unaweza ishi hapo hujui hata tukio lilotoke mwaka jana.

Kama ni mtu wa kuingia ofisini na kutoka, usipende kubisha mkuu
 

Nadhani uelewa tuuu. SI YEYE aliyesama Ni CIA, na hata mleta udhi ajasema Dr ni CIA, watu wanaunganisha dot dot dot, sababu moja ya vidio yake akiojiwa na mwananchi alikana yeye kuhusiana na wamarekani, kilicho tushangaza ni yeye kutaja wamarekani wamemasidai kuamisha fedha zake toko Urusi hapa kuna masawali mengi sana why Him? why zi Ubarozi wa TANZANIA?
 
Baada ya uchunguzi inaonyesha mkuu wa polisi huenda aliona Dr shika ni matawi ya juu anaweza kuwa ni CIA akaamua kusingizia kumuacha ajidhamini, huyu mtu si wa mchezo mchezo.
Kwa kumbu kumbu zako ni watanzania wangapi waliowahi kujidhamini wenyewe??
Hafu unafikiria kuwa Dr. Anajishughuria na shughuri gani mpaka sasa?? Na umejiuliza hizo nyaraka walizochukua wamekwisha zitolea maelezo??
Je ni mamlaka ipi ya kiserikali imeyakanusha madai ya Dr.??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…