Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajifanya mjuaji kumbe debe tupu. KAA KIMYAHana undugu na Falzliddin. Lakini nakuacha uendelee kuwalisha vijana wenzako matango pori.
You are ignorant, Wewe ni mpumbavu, Jibu hoja kwa hoja, Ukweli hujibiwa kwa ukweli, Wewe unatoa povu hapa Jf na kutumia mdomo wako kufikiri badala ya kichwa ,Kama una hoja andika facts hapa, Hivi ulizaliwa ukiwa umelewa au? Umegeuka kuwa mlevi hapa badala ya kujibu hoja unasema sio kweli bila kutoa facts,Unatulisha matango pori. Huyo kijana anaitwa Fuat Kurbanov na sio Max Kurbanov.
haha aiseeYou are ignorant, Wewe ni mpumbavu, Jibu hoja kwa hoja, Ukweli hujibiwa kwa ukweli, Wewe unatoa povu hapa Jf na kutumia mdomo wako kufikiri badala ya kichwa ,Kama una hoja andika facts hapa, Hivi ulizaliwa ukiwa umelewa au? Umegeuka kuwa mlevi hapa badala ya kujibu hoja unasema sio kweli bila kutoa facts,
Kama una miaka zaidi ya 25 wewe una matatizo kwenye medula oblangata yako inakuwaje jitu zima unaleta mipasho badala ya kutoa hoja zako umekalia akili zako kusema sio kweli sio kweli shame on you
mkuu angalia majina uliyotaja na yaliyoandikwa
Lengo sikuharibu uzi, ila ni kuonyesha tatizo...Naona mmealikana kuja kuharibu uzi wa mwenzenu, anzisheni wenu mtaeleweka!
sawa kaka yangu usihofuMkuu,
Tunasubiri muendelezo wa stori tulinganishe na ya huyu mkimbizi aliyefungwa Marekani.
Nimependa sana
acha kudanganya wewe umeambiwa nyumba hiyo itaendelea kuwa matumiz yale yale for ever?Lengo sikuharibu uzi, ila ni kuonyesha tatizo...
Soon nitakuwekea reference kuanzia picha alizotumia mfano hiyo picha za ya huyo anayedai ni max nitakuwekea alipoitoa.
Amedai kafika eneo iliko hiyo nyuma Lukhovitsy japo yeye hata spelling kakosea ila hata kupiga picha hakapiga kaenda kuchukua picha toka mtandaoni ndiyo kawawekea.
Na hiyo ni guest house inaitwa Distantsiya iko hapo Lukhovitsy.
Na hakuna mtu anaitwa Falz kurbashnov hata utafute google hakuna mtu yotoye aliyewahi tuhumiwa ugaidi kwa hilo jina bali kuna Fazliddin Kurbanov ndiye mwenye scandal ambayo anahalaubinataka kufanana na hii kitu.
Sasa jiulize kwanini hizi story za hawa watu haya majona hayana reference yoyote ina maana stories zao ndizo za siri sana kiasi kwamba huwezi pata redfrence kokote?
Hakuna tukio lolote la kigaidi au gaidi yoyote utakayemskia ukamtafuta mtandaoni usipate habari zake kasoro majina ya huyu mleta mada.
Any way enjoy the story.
Kumbuka siyo kwamba naharibu story ila hii ni forum na forum ni sehemu ambayo people debate na ku debate ni kutofautiana mawazo.
Kwa hiyo mkuu hata kupiga picha baada ya kufika hiyo sehemu hukupiga ulijua kuwa utazipata google.acha kudanganya wewe umeambiwa nyumba hiyo itaendelea kuwa matumiz yale yale for ever?
pili spelling unazosema zipi,
Huyu jamaa ni aina ya watu ambao hupenda popote alipo aonekane yeye ndiye anafahamu zaidi ya wengine, hujitahidi sana kupinga taarifa ya mwazilishi ili aonekane tu yuko juu. Wapo weeengi sana hasa hapa JamiiforumWatu wanabishana kwa fact, ikiwa unajua kitu weka tukusome sio unakuja na mipasho kama dada poa wa kimboka...[emoji31] [emoji31]
Hizi picha umepiga mwenyewe? Maelezo yako ni ya kutunga ambayo hata mtoto wa darasa la 5 anaweza kufanya. Ni shallow na hayana substance yoyote achlia mbali ushahidi. Picha umecopy toka google. Sasa kuhangaika kote huku sijui nia yako ni nini? Labda kujitafutia umaarufu JF?![]()
Nimefanikiwa kufika maeneo yote ya matukio kwanza nimefika eneo ambalo kulikuwa na office ile bameshabomolewa na kujengwa nyumba nyinginezo
pili
Eneo ambalo limesemekana alitekwa nimefika lhukovisty nje ya mji wa moscow na kupaona ila liyetuonesha hakusema ndipo alipata mateso dr shika ila ametueleza tukio lililotokea maeneo hayo na muafrica aliyelipotiwa kuwa billionea aliyetekwa na kuwekwa hapo tukaoanisha picha na kuconect dot
picha yake ni hii
![]()
Nyumba inasemekana ni ile ile ila imefanyiwa marekebisho mara kadhaa
imeadaliwa na Britanicca
Halafu alivyo mpmbv eti anauliza, unanifahamu mimi!!! Yeye ni nani hadi afahamike humu!? Mtu maarufu kwa sasa Afrika ni Grace Mugabe tuYou are ignorant, Wewe ni mpumbavu, Jibu hoja kwa hoja, Ukweli hujibiwa kwa ukweli, Wewe unatoa povu hapa Jf na kutumia mdomo wako kufikiri badala ya kichwa ,Kama una hoja andika facts hapa, Hivi ulizaliwa ukiwa umelewa au? Umegeuka kuwa mlevi hapa badala ya kujibu hoja unasema sio kweli bila kutoa facts,
Kama una miaka zaidi ya 25 wewe una matatizo kwenye medula oblangata yako inakuwaje jitu zima unaleta mipasho badala ya kutoa hoja zako umekalia akili zako kusema sio kweli sio kweli shame on you
hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaHalafu alivyo mpmbv eti anauliza, unanifahamu mimi!!! Yeye ni nani hadi afahamike humu!? Mtu maarufu kwa sasa Afrika ni Grace Mugabe tu
Sorrysi mimi
Uyo dada kweli ni mgonjwa yeye analeta usista du anajidai kujua sana kumbe shoga tuWatu wanaongea na Mungu na wamepiga kimya
Wewe mgonjwa nani akujue na watu wakujue ili iweje?
Kwa sababu huna unalosaidia to share hapa zaidi ya ubishi usioeleweka
Huo ndo ujuaji mkuuEndeleeni kuburudika. Ha ha ha, matango pori ni matamu sana.