Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

Lengo sikuharibu uzi, ila ni kuonyesha tatizo...
Soon nitakuwekea reference kuanzia picha alizotumia mfano hiyo picha za ya huyo anayedai ni max nitakuwekea alipoitoa.
Amedai kafika eneo iliko hiyo nyumba Lukhovitsy japo yeye hata spelling kakosea ila hata kupiga picha hakupiga kaenda kuchukua picha toka mtandaoni ndiyo kawawekea.
Na hiyo ni guest house inaitwa Distantsiya iko hapo Lukhovitsy.
Na hakuna mtu anaitwa Falz kurbashnov hata utafute google hakuna mtu yoyote aliyewahi tuhumiwa ugaidi kwa hilo jina bali kuna Fazliddin Kurbanov ndiye mwenye scandal ambayo walau inataka kufanana na hii kitu.
Sasa jiulize kwanini hizi story za hawa watu haya majima hayana reference yoyote ina maana stories zao ndizo za siri sana kiasi kwamba huwezi pata redfrence kokote?
Hakuna tukio lolote la kigaidi au gaidi yoyote utakayemskia ukamtafuta mtandaoni usipate habari zake kasoro majina ya huyu mleta mada.
Any way enjoy the story.
Kumbuka siyo kwamba naharibu story ila hii ni forum na forum ni sehemu ambayo people debate na ku debate ni kutofautiana mawazo.
haujawaza kwamba anayemzungumzia ndo hyo bali kakosea spelling za jina?? mana majina yakirusi magumu sana kiuandishi mkuu......
 
haujawaza kwamba anayemzungumzia ndo hyo bali kakosea spelling za jina?? mana majina yakirusi magumu sana kiuandishi mkuu......
Ukisoma comments kakataa kuwa siyo huyo...
Jiulize kwanini story yake imejaa majina ambayo hayana reference kokote..
Any way let the tea be served while it is still hot.
Siyo siku nyingi mambo yataanza kujidhihirisha kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
 
Watu wanabishana kwa fact, ikiwa unajua kitu weka tukusome sio unakuja na mipasho kama dada poa wa kimboka...[emoji31] [emoji31]
Hahahaaa, nimecheka kwa sauti bila kutarajia! Kuna watu wanakera jamani mpaka unajiuliza waliumbwa na udongo huu huu au...?! Eti ''ungejua mi nani...'', kha, so what? Njoo na id yako tukujue we nani! Ila mi naona ndg magonjwa mtambuka ndo Dr shika, haya makofi kwake tafadhali!
 
Dada yangu mgonjwa mtambuka tuliza kinyeo chako kama kinakuwasha huku kwetu visiwani wanawake kama ww hua tunawapiga mbupu au kuoa kabisa kwa kuwahonga Dafu na ndimu /Urojo so acha mishauo kunja dela lako usepe..

Wee unataka tukujue ili iweje au ndo unajitangazia biashara mabasha tuanze kukutafuta Nyoko zako ww endelea kuvaa pedi najua upp siku zako..

Gentrie Boy
Ha ha ha, ungejua unaongea na nani.
 
mwacheni mzee watu bana ujuaji mwingi,si mlisema kichaa yule? watanzania kwa kufuatilia maisha ya watu tafuta hela
 
Hahahaaa, nimecheka kwa sauti bila kutarajia! Kuna watu wanakera jamani mpaka unajiuliza waliumbwa na udongo huu huu au...?! Eti ''ungejua mi nani...'', kha, so what? Njoo na id yako tukujue we nani! Ila mi naona ndg magonjwa mtambuka ndo Dr shika, haya makofi kwake tafadhali!
Jinga sana hili jamaa
 
next week nakutana na mzee aliyemuunganisha na wamarekani nitaandika documentary kabisa
mzee wa watu mmemgeuza fursa shit happens,ungefanya utafiti kwenye kilimo na viwanda ingesaidia zaidi,kulikokupoteza mda kufuatilia maisha ya mtu
 
Ha ha ha, ungejua unaongea na nani.
Haya maneno ya unajua mm ni nan naona yalikuwa yamepotea mtaani umeyarudisha tena. Uko nyuma ya keyboard jamaa atakujuaje we ni nan mkuu, kama zipo taarifa amekosea rekebisha twende mbele , kama unajua alafu unaacha vijana wanakula matango pori then hautendei haki elimu yako na jamii yako mkuu.
 
Sasa hapo ndipo penye utata..
Kwa maelezo yenu shika aliwahi kuwa mmiliki wa kampuni kubwa yenye private jets, assett n.k.
Hivi ni kampuni gani iliwahi kuwa kubwa ambayo zaidi ya tovuti mfu hakuna reference nyingine ya habari yake?
Watu wanaodai kuwa walikuwa wapambe/wenzake wake according na mleta thread wengine walikamatwa kwa makosa ya ugaidi.. hiyo ni story ya kukamatwa kwa kosa la ugaidi ukafungwa miaka 20, lazima huyo mtu habari zake ziwepo mtandaoni.
Yani there is no way kwa haya matukio na uwezo tunaoaminishwa wa hawa watu kusiwepo references zao.
Mimi ukinikosa kawaida sina tukio lolote kubwa lakini leo hii nikamatwe kwa kosa la ugaidi, references zangu zitakuwa kila mahali nimekupa mfano wa yule kijana mzenj aliyekamatwa kwa ugaidi akapelekwa Marekani ambapo mama yake mpaka leo analia hajui mwanae nini kinaendelea.
Sikatai kuwa Dr aliwahi ishi Urusi, lakini kuna mambo mengi yameongezwa chumvi..
napenda sana unavojibu kistaarabu.........lakini tatzo ni kwamba mleta mada yupo urusi na anadai hzo info anazichukua direct kutoka kwa watu waliomfaham DR. lakini wew unampinga kwa ushahidi wa kichwa chako tu kinavopiga mahesabu juu ya tukio hili.......!!!

Mi nadhani kwa kuwa na ww upo urusi....basi tafuta info za ukweli zaid kuhusu Dr shika....mana ni mtanzania mwenzako ambae tunaamini kabisa alipatwa na matatizo makubwa huko ambayo yame athiri maisha yake kwa ujumla...........na kisha utuletee taarifa hapa ili tuweze sasa kuiona hoja yako juu ya huyu mzee wetu.
 
Kutokana na maelezo hapo juu na tangia nimeanza kumfuatilia huyu billionaire nimegundua mambo yafuatayo

1. Dr Louis ni moja wapo ya watu wenye akili sana sio za darasani tuu hata za kimaisha
2.Alianzisha Biashara yake na ilikuwa ndogo tuu, lkn kutokana na ujanja wake na pia kutokana ubaguzi wa kirusi akawa na marafiki wengi wa kimarekani

3. Urafiki wake na wamerekani ulikuwa na nia njema kama washikaji lkn naona kama badae alitumiwa kwa ajili ya upelelezi na ndio hapo matatizo yalianza kumkuta (kila mtu unapenda pesa)
4. Dr Louis yuko kwenye dilemma kubwa na haamini kama maisha yake ndo yameshakuwa vile kwa sababu alikuw mtu mkubwa mwenye malengo mengi
5. Kila mtu ana bahati yake! Naamini Dr Louis ana bahati na ameweza kuitumia (he is flexible) na pia kama kweli pesa zake zipo bhasi naamini atazipata na atafanya mambo makubwa hapa
 
Back
Top Bottom