Umeamua wasema wana JFHiyo miaka 30 kwa mwanamke tayari kashakuwa msimbe au kibungo kwa ambao hado hawajaolewa huwa wanahaha sana kutafuta mume kwa manabii, wengine kwa waganga
Utawasikia wengine wakijifariji kwanza kuolewa sio lazima
Ikitokea akapata ZALI la kuolewa kwenye harusi anaruka ruka kama ndama na nyimbo za vijembee kibao
Ndo unajua kumbee alikuwa anaitaka[emoji23][emoji23]
Usiishi kwa kuangalia mabega utapoteaNi umri hatari sana huo hasa mambo yakiwa hayajakaa sawa na ukiwacheki Homies wako kila mmoja anamaisha yake presha huwa ipo juu sana
Yan wanakutukana mpaka akil inakaa sawa. Halaf wanajua kushaur kwel kwel vitu ambavyo hawaja experience bado😂Members wengi humu under 35 na ndo wanaongoza kwa matusi na ujuaji mwingi[emoji16][emoji23]
Tukirudi kwenye hoja ya mtoa Mada 30 ni umri wakua umeshaoa angalau mtoto mmoja pamoja na kuisimamia na kuiongoza Familia kama unakipato Cha halali.
Kama wewe kipato chako ni Cha dhulma basi unapaswa Kuwa na vingi zaidi ya Hivyo hapo juu[emoji1787][emoji23][emoji23]
Ukipitia pitia comment unaweza kuta kuna mahala alishawah kukutukana katika harakat za humu majukwaani..😂😂😂😂Hujambo Mwanangu?
Hiyo kawaida sana mkuu hata kwenye Mijadala ya Mpira huku mtaani unaweza kuta mtu anakuambia "hebu check huyu mzee naemiaka hiyo naangalia mpira we hujazaliwa..."Ukipitia pitia comment unaweza kuta kuna mahala alishawah kukutukana katika harakat za humu majukwaani..😂😂😂😂
Huu ndio utu uzima sasa..you agree to comply with the process 😂😂😂Kitu kimebadilika NI kwamba naona kama saiv nikiwa 20s nilikuwa nataman Sana kufanikiwa Kwa araka na nikawa nafanya vitu vikubwa nafeli lakin saiv naona nimekubali Tu kuwa mpole kwenda Kwa ngazi hata kama NI ya chini kabisa nakubali kuanza nayo
Hiz ndio experience sasa. Mkuu mafaniko halali ni process tena sio ya kitoto.Nilianza kujitafuta since 19 na imenichukua miaka zaidi ya 10 kuipata ramani, maisha ni vile unapambana mwenyewe
Kuna muda unaskuti na kujiona hauna ramani lakini mikazo inafanya uendelee mbele
All in all usiogope kuonekana looser kisa mipango haikai halafu kitaani raia wanakuhesabia lini utatoboa, ukijali sana utaumia
Wewe tuamkie tuu mdogo angu wa mbali sanaDr una mtoto ana 20s? If yes hongera Sana Mungu aendelee kukubariki ili tuvune hekima zako.
Upo sana tuuKwani kuna ubaya mtu akikaa kwao?
Kweli?Sahivi hamna masharti kabisa, gazeti lishakua la jioni hili haliuziki[emoji3][emoji3]
Watoto wawili ni wachache sana
kabisa 30 kuendelea miaka inakuwa inakimbia haraka..... nahisi ni sabab ya majukumu ambayo unakuwa nayoAlaf wanasema 20-29 hapa miaka huwa inaenda taratibu ila ukishatoboa 30 miaka huwa inakimbia balaa na kama huna ramani watu wanakutenga kila mtu anakuona we siyo mwana wanaona hujielewi na ni mzembe hata babaako hataki kukuona
Ndiyo mkuu, ili mradi unapumua inatoshaKweli?
UPI?Upo sana tuu