Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

Hiyo miaka 30 kwa mwanamke tayari kashakuwa msimbe au kibungo kwa ambao hado hawajaolewa huwa wanahaha sana kutafuta mume kwa manabii, wengine kwa waganga

Utawasikia wengine wakijifariji kwanza kuolewa sio lazima

Ikitokea akapata ZALI la kuolewa kwenye harusi anaruka ruka kama ndama na nyimbo za vijembee kibao

Ndo unajua kumbee alikuwa anaitaka[emoji23][emoji23]
Umeamua wasema wana JF
 
Kitu kimebadilika NI kwamba naona kama saiv nikiwa 20s nilikuwa nataman Sana kufanikiwa Kwa araka na nikawa nafanya vitu vikubwa nafeli lakin saiv naona nimekubali Tu kuwa mpole kwenda Kwa ngazi hata kama NI ya chini kabisa nakubali kuanza nayo
 
Members wengi humu under 35 na ndo wanaongoza kwa matusi na ujuaji mwingi[emoji16][emoji23]
Tukirudi kwenye hoja ya mtoa Mada 30 ni umri wakua umeshaoa angalau mtoto mmoja pamoja na kuisimamia na kuiongoza Familia kama unakipato Cha halali.
Kama wewe kipato chako ni Cha dhulma basi unapaswa Kuwa na vingi zaidi ya Hivyo hapo juu[emoji1787][emoji23][emoji23]
Yan wanakutukana mpaka akil inakaa sawa. Halaf wanajua kushaur kwel kwel vitu ambavyo hawaja experience bado😂
 
Nilianza kujitafuta since 19 na imenichukua miaka zaidi ya 10 kuipata ramani, maisha ni vile unapambana mwenyewe

Kuna muda unaskuti na kujiona hauna ramani lakini mikazo inafanya uendelee mbele

All in all usiogope kuonekana looser kisa mipango haikai halafu kitaani raia wanakuhesabia lini utatoboa, ukijali sana utaumia
 
Ukipitia pitia comment unaweza kuta kuna mahala alishawah kukutukana katika harakat za humu majukwaani..😂😂😂😂
Hiyo kawaida sana mkuu hata kwenye Mijadala ya Mpira huku mtaani unaweza kuta mtu anakuambia "hebu check huyu mzee naemiaka hiyo naangalia mpira we hujazaliwa..."
Au "mcheck huyu mzee Ms** kweli sasa unafiri simba watafunga"
Ukiangalia anayekuambia hivyo ana miaka 30 kwahyo unacheka tu...

Kwa hyo ni kawaida
 
Kitu kimebadilika NI kwamba naona kama saiv nikiwa 20s nilikuwa nataman Sana kufanikiwa Kwa araka na nikawa nafanya vitu vikubwa nafeli lakin saiv naona nimekubali Tu kuwa mpole kwenda Kwa ngazi hata kama NI ya chini kabisa nakubali kuanza nayo
Huu ndio utu uzima sasa..you agree to comply with the process 😂😂😂
 
Nilianza kujitafuta since 19 na imenichukua miaka zaidi ya 10 kuipata ramani, maisha ni vile unapambana mwenyewe

Kuna muda unaskuti na kujiona hauna ramani lakini mikazo inafanya uendelee mbele

All in all usiogope kuonekana looser kisa mipango haikai halafu kitaani raia wanakuhesabia lini utatoboa, ukijali sana utaumia
Hiz ndio experience sasa. Mkuu mafaniko halali ni process tena sio ya kitoto.
Mindset yako isipokua stable unakwama dakika 0 tu.

NB
Japo mazali yapo ..wengine boom!! Baaah!!! Kashayapiga maisha anabaki anacheka tuu tena kihalali tu bila kutumia nguvu
 
Alaf wanasema 20-29 hapa miaka huwa inaenda taratibu ila ukishatoboa 30 miaka huwa inakimbia balaa na kama huna ramani watu wanakutenga kila mtu anakuona we siyo mwana wanaona hujielewi na ni mzembe hata babaako hataki kukuona
kabisa 30 kuendelea miaka inakuwa inakimbia haraka..... nahisi ni sabab ya majukumu ambayo unakuwa nayo
 
Back
Top Bottom