Baada ya kufiwa na ndugu yangu ndiyo nimegundua Tanzania tunachemka

Pole sana ndugu mfiwa kazi ya mungu haina makosa japo wakati mwingine uzembe wa watu/ viongozi pia huchangia hili. Kwa mfano hapa nilipo ni makao makuu ya mkoa X hapa mwanzoni michezo yote kama dtaft, bao, pooltebo zilipigwa marufuku ila baada tu speech ya mkuu wa nchi kila kitu kilirejea kama kawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yako hakuwa na tatizo lengine kubwa la kiafya?
 

Pole sana. Hii kitu sio mchezo ni kuchukua taadhari on your own.
 
Hawa akina mataga ni wapuuzi sana.
 
Rafiki yangu kalazwa hospital ya ugogoni kongwa, nae Yuko hoi kwa haya maradhi... ni dereva wa ambulance
wabongo wenzangu tuwe makini gonjwa lipoooo
 
Huyo mnyarwanda tumpige chini anatupeleka siko.
 
Ass!
 
Vipimo vinatibu? hakuna dawa wala chanjo hivyo usitegemee Rais kuja kukukinga wewe na familia yako, zingatieni taratibu na hatua zote za kujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa huo kama tunavyoshauriwa na kuelekezwa na wataalamu wa afya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kwa msiba ndugu.
Tuzidi kuombeana watanzania,
Na tuache kutenda dhambi.
Mungu atatusikia!
 
. Hatujui ndugu yetu alipatia wapi Corona ingawa mazingira yanaonesha ni kazini kwake (sipataji ili nisilete taharuki).
Huyo.nfugu yako aliyekufa Hana jina? Eti ohh katoa ofisini kwani hawezi pata Kwingine? Ulichoandoka Ni umbeya mtupu uliojaa uongo kuanzia mwanzo Hadi mwisho

Sikupi pole kwa msiba wa kutunga!! Msiba hewa!!
 
Huyo.nfugu yako aliyekufa Hana jina? Eti ohh katoa ofisini kwani hawezi pata Kwingine? Ulichoandoka Ni umbeya mtupu uliojaa uongo kuanzia mwanzo Hadi mwisho

Sikupi pole kwa msiba wa kutunga!! Msiba hewa!!
Sijajua una umri gani lakini wacha nikuite dogo tu ......ni hivi nakuombea sana hiki kikombe kisikupitie .......tena omba san dogo! wengine tumo humu tunatamani tuwatukane hata matusi makubwa tu ya nguoni ....... ebu fikiria mtu anyepoteza wanafamilia wawili ndani ya siku 3 halafu unakoment ufala ........ yaani wewe ni sawa na huyu fala ........ ipo siku iaitakulipukia makalioni si unaikalia
 
WA MIKOANI MNAHOFU SANA SISI WA DAR TUPO SALAMA NA TAHADHARI TUNACHUKUA MAAANA MNAVYOFIKIRI KILA SIKU KILA MTAA KUNA MSIBA.
 
Andika majina yao acha porojo wewe wa Kwanza kufiwa ? hata ukifiwa toa taarifa za wazi na kweli sio za kutunga
 
Andika majina yao acha porojo wewe wa Kwanza kufiwa ? hata ukifiwa toa taarifa za wazi na kweli sio za kutunga
[/QUO
Mmojawapo ni yule naibu meya wenu wa Moro ni ndugu yangu na aliyekuwa anamuuguza umefulrahi sasa eh!
 
Ujinga wako uko hapo kwenye "kumkubali"

Umemkubali akuulie mdogo wako hivyo huna sababu ya kusikitika.

Huyu mtu ni murderer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…