Baada ya kufiwa na ndugu yangu ndiyo nimegundua Tanzania tunachemka

Andika majina yao acha porojo wewe wa Kwanza kufiwa ? hata ukifiwa toa taarifa za wazi na kweli sio za kutunga
Ni hivi dogo .... kwa modo tuliyoichagua hakikisha kuwa kwenu hakuna mtu yeyote mwenye underlying conditions utaleta mrejesho au utakaa kimya kwa sababu helufi utaziona kwenye keyboard

 

Dah...hivi kuna nini cha ziada mnataka afanye? Kuambukizwa corona ni jambo binafsi....labda tungesema kwenye taasisi za Elimu ndiyo kungekuwa na changamoto kuidhibiti...lakini shule na vyuo vimefungwa....Elimu ya kujikinga imetolewa kama ilivyotolewa kwa virusi vya ukimwi....mbona hamuelewi?... Shida kubwa mnataka mtangaziwe idadi ya wagonjwa na vifo tu....mnataka lockdown...ili iweje?
Bado nasisitiza kuambukizwa covid19 ni uamuzi binafsi...ni Kama uamuzi wa kuvaa au kutokuvaa ndom...[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Huyo.nfugu yako aliyekufa Hana jina? Eti ohh katoa ofisini kwani hawezi pata Kwingine? Ulichoandoka Ni umbeya mtupu uliojaa uongo kuanzia mwanzo Hadi mwisho

Sikupi pole kwa msiba wa kutunga!! Msiba hewa!!
Kwani ukimpa pole ndugu yake ndio atafufuka? hebu tutolee upuuzi wako nenda kamtengee mumeo maji ya kuoga kwanza,
 
Ik
Huyo.nfugu yako aliyekufa Hana jina? Eti ohh katoa ofisini kwani hawezi pata Kwingine? Ulichoandoka Ni umbeya mtupu uliojaa uongo kuanzia mwanzo Hadi mwisho

Sikupi pole kwa msiba wa kutunga!! Msiba hewa!!
Wambea na waongo huwa wanajuana. Likikufika ndipo utakapojua.
 
Ik
Wambea na waongo huwa wanajuana. Likikufika ndipo utakapojua.
mkuu kila mtu anajua corona ipo,kwahiyo kufiwa haiwezi kuwa habari.bali sehemu ya kuonja kikombe hicho.kama ilivyo kuwa kwa magonjwa mengine.

shida ni nyinyi wenzetu mnapotaka kusema rais alikosea ndio maana watu wanakifa hovyo hovyo,hiyo hovyo hovyo.
 
Tunakwisha Mwatanzania lakini mtakaobaki mchagueni Dr John Pombe Magufuli jembe kutoka Chato.
na kwakweli mnakwisha na mengi,wabunge wenu wenyewe wameamua kuifata bungeni,sijui hata msimamo wao wanaoshika ni upi???
 
Endelea kumkubali tu mzee usikate tamaa. Komaa mzalendo hakati tamaa. It is not to that extent

Anyway Mimi huwa nashangaa kusikia kwamba kuna watu wanaamini kabisa kwamba swala la kutoshughulika na Corona ni kwasababu ya vipimo. Kama hata hili chenga la macho hatulioni basi safari yetu ni ndefu sana na njiani kuna miiba.

Heko kwa Zanzibar taratibu wanajitenga na propaganda za bara, leo wameshusha vipimo vyao

Nimesikia leo tarehe 15.5 Mama Anna Mghwila vipimo vimesoma Negative, yaani amepona. Kwani yeye kapima kipimo gani? Mtoto wa Mbowe nae juzi ka test negative, amepima kipimo gani?

Waliolazwa kabla ya maabara kufungwa wote bado ni wagonjwa? Juzi mkuu wa mkoa kasema wamepungua sana hospitali, wameruhusiwa baada ya kupimwa na kipimo gani hadi aseme idadi imepungua?

Endelea kumuamini Mkuu wala usikate tamaa, huyo ndugu yetu ametangulia tu sote tutaelekea huko

Mwisho kabisa niwape pole kwa msiba wa mpendwa wenu. Mungu awape faraja na awaondolee hofu mliyo nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akiwa kama Amir Jeshi Mkuu, Rais alipaswa kutupatia takwimu za maambukizi na vifo kila siku, kutoa muongozo wa kujikinga pia kutufariji raia wake.
 
Pole kwa msiba ndugu.
Lakini naona unalalamika vipimio vipimo kwani ukipimwa ndo unapona corona.

Tuendelee kuchukua tahadhari na kujitibu kwa njia mbadala
 
 
Wafanyakazi wenzake wanajua. Si lazima waambiwe na mtu Toka Shinyanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna picha moja ilinifurahisha sana ilitupwa humu.Kuna mnyama kajificha kwenye kachaka kwenye giza.Yule mnyama anasema kwa sauti kubwaaa...TUCHAPE KAZI.Aliyekatupia taf.tupia na hapa tuone
 

How do you know?

Ulimpima marehemu?

Besides,hiyo inafanya hiyo isiwe korona labda ni something else hivyo serikali haihusiki?
 
Sasa wewe kila siku unaambiwa chukua tahadhali corona inaua unafikiri wanatania?



Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii ungekuwa msomaji tu.
Unafikiri wanaokufa kwa Corona wote hawanawi mikono kwa maji yanayo tiririka na sabuni, hawavai barakoa?

Kama kazini anahitajika unafikiri ataweza kukaa nyumbani afutwe kazi au anyimwe mshahara wake?
Angalia haya mengine ukitia neno kishabiki karma isije shughulika na wewe ukajikuta unaguswa kwa namna yeyote na hili janga. Take care and be careful with your word.

Hili janga ni mtihani, ukifungia watu ndani ni shida, ukiwaachia watu ni shida basi ilimradi tafrani tu.
 
Umeongea kwa uchungu niliokuwa nao juzi Alhamis baada ya kufiwa na jirani kwa kifo cha gafla tu kwa tatizo la kupumua na madaktari kuwaonya watu wa karibu.
Sitaki kuelezea mengi ila nadiriki kusema kuwa the government has totally failed on handling the situation against covid19.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…