HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 369
- 685
😆😆😆 Mmekuja(Surat Aal-Imran 3:19)
😆😆😆 Mmekuja(Surat Aal-Imran 3:19)
😆😆😆Kuna ukweli
Acha kudanganya watuWapo wanaomjua Mungu na wanamuona ila ni wale tu ambao wako katika roho ndio wanaomjua na wanamuona kwa kuwa Mungu ni roho na ukitakakuomuona na kumjua ni lazima uwe rohoni,ukiwa mwilini kamwe huwezi kumuona Mungu.
Ni lazima uniite muongo kwa kuwa Mungu haonikani kwa macho ya kibinadamu,ungekuwa na macho ya kiroho usingeniita muongo.Acha kudanganya watu
Dini mmeletewa lakini mko tayari kukana wazazi kufuata diniNi lazima uniite muongo kwa kuwa Mungu haonikani kwa macho ya kibinadamu,ungekuwa na macho ya kiroho usingeniita muongo.
Mpumbavu anasema moyoni hakuna mungu ila wiseman anasema hadharani bila wogaAtheists wakisikia neno Mungu na Yesu wanapata kichefuchefu. Sijui hicho kichefuchefu kinatoka wapi wakati hawaamini kama kuna Mungu.
Zaburi 14:1
[1]Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;
Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo,
Hakuna atendaye mema.
(To the chief Musician, A Psalm of David.) The fool hath said in his heart, There is no God. They are corrupt, they have done abominable works, there is none that doeth good.
Uongo mwingi sanaNi lazima uniite muongo kwa kuwa Mungu haonikani kwa macho ya kibinadamu,ungekuwa na macho ya kiroho usingeniita muongo.
Okay sawaSema miungu ipo na wala sio mmoja. Kila kitu kina asili yake na hiyo asili ni Mungu wake.
Acha kujifarijiAtheists wakisikia neno Mungu na Yesu wanapata kichefuchefu. Sijui hicho kichefuchefu kinatoka wapi wakati hawaamini kama kuna Mungu.
Zaburi 14:1
[1]Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;
Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo,
Hakuna atendaye mema.
(To the chief Musician, A Psalm of David.) The fool hath said in his heart, There is no God. They are corrupt, they have done abominable works, there is none that doeth good.