To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Leo nmeibahatisha Siti ya mbele kabisa jiran na dereva[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nmeibahatisha Siti ya mbele kabisa jiran na dereva[emoji4]
Anaumwa huyo mpiga dili nyeusiMkuu Corona iliingia 2018 kweli?
Ha ha ha.... Mabinti wengi wadangaji ndo pigo zao hizo, bill za mseleleko hakuna[emoji4]Mimi napenda hela yangu kuliko mwanamke,
Kuna siku nipo bar akaja demu alikaa kwenye meza yangu. Akaagiza chakula na bia akaanza kujipigisha stori nikaletewa bill kwa wote. Nikamuuliza waiter hii bill mbona kubwa?. Akasema hio ya wote nikamwabia huyu simjui leta bill yangu tu. Manzi kabaki kutoa mimacho nikalala mbele[emoji1787]
Yani mtu akufaham aje tu aagize kwa bill yako 😂😂😂Mimi napenda hela yangu kuliko mwanamke,
Kuna siku nipo bar akaja demu alikaa kwenye meza yangu. Akaagiza chakula na bia akaanza kujipigisha stori nikaletewa bill kwa wote. Nikamuuliza waiter hii bill mbona kubwa?. Akasema hio ya wote nikamwabia huyu simjui leta bill yangu tu. Manzi kabaki kutoa mimacho nikalala mbele🤣
Naona bado kijana mdogo huna experience na maisha hata kidogo. Umepata fedha zikaanza kukupa uwehu fulani hivi.Narudia tena hela zangu zikiazangq kuingia utashanga mara mil 30 mara mil 40 mara mil 50 mara mara mil 80 ....yana nakuaga kama drug dealer kumbe mtu tu wa kariakoo
😃😃😃😃Ulifanya sawa mkuu.Mimi napenda hela yangu kuliko mwanamke,
Kuna siku nipo bar akaja demu alikaa kwenye meza yangu. Akaagiza chakula na bia akaanza kujipigisha stori nikaletewa bill kwa wote. Nikamuuliza waiter hii bill mbona kubwa?. Akasema hio ya wote nikamwabia huyu simjui leta bill yangu tu. Manzi kabaki kutoa mimacho nikalala mbele🤣
Chai mkuu ujashituka.😃😃Mkuu Corona iliingia 2018 kweli?
Hela ni mipango kijana wengine nyota ipo nimesema nitarudi na uzi deal likitik ...hela ni exposure tu ...nimeshasafir sana so sio kwamba sina uhakika nina exposure kubwa na nchi ya china na wachina so kurudi mjini ni swala la muda wachina huwa wananipa mali kauli hata millioni 20 ...so exposure tu na connectionNaona bado kijana mdogo huna experience na maisha hata kidogo. Umepata fedha zikaanza kukupa uwehu fulani hivi.
Nakushauri tafuta kitabu cha 'Hekaya za Abunuwasi', usome hadithi ya 'Alinacha' halafu ndiyo uote hizo ndoto zako na pia urekebishe matarajio yako.
Be realistic man!
Mimi napenda hela yangu kuliko mwanamke,
Kuna siku nipo bar akaja demu alikaa kwenye meza yangu. Akaagiza chakula na bia akaanza kujipigisha stori nikaletewa bill kwa wote. Nikamuuliza waiter hii bill mbona kubwa?. Akasema hio ya wote nikamwabia huyu simjui leta bill yangu tu. Manzi kabaki kutoa mimacho nikalala mbele[emoji1787]
Mkuu achoongea mtoa mada kipo,Saikolojia haidanganyi hata siku moja.
Kinachoonekana hapa ni unatafuta hela ili umrudishe Letina wako. Kujidanganya kuwa utakuwa unamla na kumtomrudisha kamwe kwenye himaya yako ni utoto.
Mungu akusaidie upate hizo hela umrudishe mwanamke wa ndoto zako.
Acha utoto wa kujidai kuwa jamaa hana la kukufanya. Kukunyang'anya tu mwanamke ni hatua kubwa kwake. Unasema una bastola? Unajuaje yeye hana? Ukikutwa na Letina, utajinyea. Na bastola utakosa ulipoiweka.
Kwanza, unakosea. Silaha si kwa ajili ya kutafuta matatizo. Bali kujihami na matatizo. Tafuta hela, acha utoto.
Hizi zipo lovie,Yani mtu akufaham aje tu aagize kwa bill yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii chai si chai tena ni tea.
Nilikosea kuandika afu sipigi deals nyeusi na piga white dealz only ....Anaumwa huyo mpiga dili nyeusi