Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndo?

Eeeh eeh eeh Kwan kabla ya ndoa ilikuaje? Huyo rafiki Ako mwambie yeye ni zozola aliyekubuhu

Kumbe Kuna wanaume wa sampul hii na hamsem, [emoji3][emoji3][emoji3]
Hajawahi kuiona nyapi ya kiumbe chochote, demu bikra na jamaa anamuonea aibu kumuomba shoo
 
vizuri, pia anastahili hongera nyingi sana kwa kuhifadhi utupu wake mpaka kufikia umri wa kuoa. Lakini mwambie kuwa asiwe na shaka kuhusu mke atamchukuliaje yeye, kila biharusi anajuwa kwamba siku ambayo ataolewa nini kinaenda kumtokea. Na ndio maana zikatumika hekima za kuipanga tarehe ya ndoa iwe siku ambayo atakuwa fresh kutumika na sio kwenye siku ambazo simba wanacheza. Kukuthibitishia hilo tarehe ya ndoa ilitajwa na upande wa mke
Tatizo linakuja jamaa hajui hata nyapi ilivyo na hata hajui ipo upande gani kwa mwanamke pia kuna mda jamaa alisema anaona aibu kuomba shoo kwa mke wake
 
Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake?

Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.

Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA
Akae siku arobaini shwain
 
show ni daily, including menstrual periods, exceptions ni ESI (excuse sexual intercourse) toka kwa dokta
 
Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake?

Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.

Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA
Ndio maana zamani vijana walikuwa wanapelekwa jandoni. This is just ridiculous!
 
Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake?

Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.

Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA
Nahisi kama shule hazijafunguliwa vile. Any way minimum ni siku 365 na robo
 
Wazee wetu walikuwa Wanaka miaka 2-3 ila kwa kizazi hiki Cha nyoka tunashauriwa kuka mwaka 1. Usisahau subscribe ndugu ili nikupe nondo zaidi.
 
Mimi wangu nilimpiga miti sana kabla hata ya ndoa na siku ya ndoa usiku nikampiga miti tena na asubuhi nikaamka nae na bado nampiga miti mpaka sasa
 
Back
Top Bottom