Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndo?

Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndo?

Wenzako tuna test mitambo kabla ujue intensity ilivyo!wewe una!!!?aiseh pole sana mkuu!!
 
Tumbili wa mjini tendo la ndoa hufanywa siku ya kwanza kabisa kuwa wanandoa, that's why tarehe ya ndoa upande wa mke ndio hupanga coz mke ndiye anayejua kama siku husika atakuwa kwenye hali ambayo inafaa kutekeleza tendo la ndoa au kinyume chake (i mean atakuwa kwenye hedhi).... Pia kama rafiki yako ataamua kubaki na akili zake za kitoto that's up to him
 
Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake?

Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.

Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA

Mwambie asifanye tendo la ndoa na mkewe mpaka siku akitaka/kuamua kuzaa. Sio vizuri kuendekeza ngono, inaharibu afya.
 
Tumbili wa mjini tendo la ndoa hufanywa siku ya kwanza kabisa kuwa wanandoa, that's why tarehe ya ndoa upande wa mke ndio hupanga coz mke ndiye anayejua kama siku husika atakuwa kwenye hali ambayo inafaa kutekeleza tendo la ndoa au kinyume chake (i mean atakuwa kwenye hedhi).... Pia kama rafiki yako ataamua kubaki na akili zake za kitoto that's up to him
Demu ni bikra na jamaa hajawahi kuona hata nyapi ilivyo na hajui inakaa wapi kwenye mwili
 
Mwambie asifanye tendo la ndoa na mkewe mpaka siku akitaka/kuamua kuzaa. Sio vizuri kuendekeza ngono, inaharibu afya.
Nimemwambia ndio nawaza hivyo amesema natarajia wapate mtoto wao wa kwanza baada ya miaka miwili na ndio kasema atashiriki nae hicho kipindi
 
Demu bikra, na kwanini nimpe pole badala ya pongezi kwa kufuata dini?
Dini sio kigezo cha kushindwa kumnyandua mwanamke ambaye kuna siku utamnyandua, Si yaleyale na ni yuleyule tu?

Ila kama demu ni bikra ✔️

Amnyandue siku hiyohiyo ya ndoa, Ataweka kumbukumbu nzuri sana.
 
Dini sio kigezo cha kushindwa kumnyandua mwanamke ambaye kuna siku utamnyandua, Si yaleyale na ni yuleyule tu?

Ila kama demu ni bikra ✔️

Amnyandue siku hiyohiyo ya ndoa, Ataweka kumbukumbu nzuri sana.
Wewe jamaa nakuonaga muislam haswa kumbe hamna kitu, kwamba Mungu alivyo kataa kuzini kabla ya ndoa unaona hamna lolote?
 
Ilitakiwa aombe bumunda alipolipa mahari tu kama ni mchumba ambae hawakuwahi kutana kabla.

Kwa dunia ya leo lazima utest mitambo kwanza. Unaweza jifanya mtiifu, baada ya ndoa unakuta kumbe umeoa dume mwenzio anaefanania mwanamke..

View attachment 3214963
Huyu ni wa kiume,. Just so you know.
Haki huyu mimi napiga na uzuri wote huu akijichanganya tu kaliwa mamamamamae
 
Demu ni bikra na jamaa hajawahi kuona hata nyapi ilivyo na hajui inakaa wapi kwenye mwili
vizuri, pia anastahili hongera nyingi sana kwa kuhifadhi utupu wake mpaka kufikia umri wa kuoa. Lakini mwambie kuwa asiwe na shaka kuhusu mke atamchukuliaje yeye, kila biharusi anajuwa kwamba siku ambayo ataolewa nini kinaenda kumtokea. Na ndio maana zikatumika hekima za kuipanga tarehe ya ndoa iwe siku ambayo atakuwa fresh kutumika na sio kwenye siku ambazo simba wanacheza. Kukuthibitishia hilo tarehe ya ndoa ilitajwa na upande wa mke
 
Eeeh eeh eeh Kwan kabla ya ndoa ilikuaje? Huyo rafiki Ako mwambie yeye ni zozola aliyekubuhu

Kumbe Kuna wanaume wa sampul hii na hamsem, [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom