Tumbili wa mjini
JF-Expert Member
- Nov 2, 2024
- 1,125
- 2,233
- Thread starter
- #141
Kwahiyo huku muoa, je kumla ulimla?Mwambie tutamchapia
Amenikumbusha demu mmoja nilikuwa nae eti hatak kunipa mzigo mpaka siku ya ndoa,nilkuwa nikilalamika kuwa sitaweza kuvumilia siku zote hzo,yeye ananiambia kama siwez kuvumilia sasa je akiwa kwenye ndoa akiumwa nitafanyaje,yaan kila nikimwambia ananiambia niache tamaa za mwili,mwsho wa siku niliamua kuwa nae hvyo hvyo kibishi
Sema alikuwa kisu hatar,nikawa napenda kuwa nae tu nainjoy ila nilivyosepa huko hakuniona tena,yeye ndo akaanza kunitafuta