Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndo?

Eeeh eeh eeh Kwan kabla ya ndoa ilikuaje? Huyo rafiki Ako mwambie yeye ni zozola aliyekubuhu

Kumbe Kuna wanaume wa sampul hii na hamsem, [emoji3][emoji3][emoji3]
Hajawahi kuiona nyapi ya kiumbe chochote, demu bikra na jamaa anamuonea aibu kumuomba shoo
 
Tatizo linakuja jamaa hajui hata nyapi ilivyo na hata hajui ipo upande gani kwa mwanamke pia kuna mda jamaa alisema anaona aibu kuomba shoo kwa mke wake
 
Akae siku arobaini shwain
 
show ni daily, including menstrual periods, exceptions ni ESI (excuse sexual intercourse) toka kwa dokta
 
Ndio maana zamani vijana walikuwa wanapelekwa jandoni. This is just ridiculous!
 
Nahisi kama shule hazijafunguliwa vile. Any way minimum ni siku 365 na robo
 
Wazee wetu walikuwa Wanaka miaka 2-3 ila kwa kizazi hiki Cha nyoka tunashauriwa kuka mwaka 1. Usisahau subscribe ndugu ili nikupe nondo zaidi.
 
Mimi wangu nilimpiga miti sana kabla hata ya ndoa na siku ya ndoa usiku nikampiga miti tena na asubuhi nikaamka nae na bado nampiga miti mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…