Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndo?

Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndo?

Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake? Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.
Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA
Tell him he has to consummate the marriage hapa ndio ndoa inakuwa imekamilika.
Sasa yeye alimuoa kwa ajili ya akili zake au mbususu yake. Aache ujinga
 
1000006273.jpg
 
Back
Top Bottom