Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndo?

Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndo?

Humu ndani siku hizi kila mtu anaulizia kuhusu jambo la mtu fulani, kwani ukisema ni wewe kuna shida gani mkuu?
 
Tatepa...

Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake? Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.
Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA
 
Na umwambie pia asipo mto....mber huyo mwanamke atamdharau na atawapelekea wanaume wengine wamfilimbize
Mke wake ni bikra sasa akinanlii na wengine si atajulikana? Alafu jamaa anasema kuhusu kugongewa mke hana shida kikubwa mke awe na heshima ndani ya nyumba
 
Ni bikra, unatoa ushauri gani
Well kama ni bikira pangeni pamoja mpango wenu wa uzazi km mnatarajia mpate mtoto wakati gani.mkielewana mpende mwenzio kwa maarifa na kufanya faragha angalau mara mbili kwa wiki ili msichokane.Kumbuka maana ya ndoa siyo faragha pekee ni kujenga familia familia ktk jamii inayomwogopa Mungu
 
Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake? Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.
Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA
Ni ibada lazima wedding night io ndo inakamilisha agano
 
Hivi anajua kuwa ndoa bila tendo la ndoa ni batili? Baada ya Marriage consummation ndio ndoa inaanza
 
Back
Top Bottom