Tumbili wa mjini
JF-Expert Member
- Nov 2, 2024
- 1,125
- 2,233
- Thread starter
- #81
Unashauri wafanye tendo siku ngapi baada ya ndoa? Maana jamaa anasema anaona aibu kufanya tendoWell kama ni bikira pangeni pamoja mpango wenu wa uzazi km mnatarajia mpate mtoto wakati gani.mkielewana mpende mwenzio kwa maarifa na kufanya faragha angalau mara mbili kwa wiki ili msichokane.Kumbuka maana ya ndoa siyo faragha pekee ni kujenga familia familia ktk jamii inayomwogopa Mungu