Baada ya kufunga ndoa ukae siku ngapi ili ufanye tendo la ndo?

mods wako wapi? kuna nyuzi za kishamba kweli kweli siku hizi. Yaani primitivity thread like this one should be banned immediately.
 
Mwambie tutamchapia

Amenikumbusha demu mmoja nilikuwa nae eti hatak kunipa mzigo mpaka siku ya ndoa,nilkuwa nikilalamika kuwa sitaweza kuvumilia siku zote hzo,yeye ananiambia kama siwez kuvumilia sasa je akiwa kwenye ndoa akiumwa nitafanyaje,yaan kila nikimwambia ananiambia niache tamaa za mwili,mwsho wa siku niliamua kuwa nae hvyo hvyo kibishi

Sema alikuwa kisu hatar,nikawa napenda kuwa nae tu nainjoy ila nilivyosepa huko hakuniona tena,yeye ndo akaanza kunitafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…