Tumbili wa mjini
JF-Expert Member
- Nov 2, 2024
- 1,125
- 2,233
- Thread starter
-
- #141
Kwahiyo huku muoa, je kumla ulimla?Mwambie tutamchapia
Amenikumbusha demu mmoja nilikuwa nae eti hatak kunipa mzigo mpaka siku ya ndoa,nilkuwa nikilalamika kuwa sitaweza kuvumilia siku zote hzo,yeye ananiambia kama siwez kuvumilia sasa je akiwa kwenye ndoa akiumwa nitafanyaje,yaan kila nikimwambia ananiambia niache tamaa za mwili,mwsho wa siku niliamua kuwa nae hvyo hvyo kibishi
Sema alikuwa kisu hatar,nikawa napenda kuwa nae tu nainjoy ila nilivyosepa huko hakuniona tena,yeye ndo akaanza kunitafuta
Acha bhangi!🤔Dah kumbe una tukana hivi. Je na siku yetu unataka nikupige mashine
Siku yetu nitakua na viagra za akibaAcha bhangi!
Blo Mpe ushauriJF kila mtu hua anauliza kwa niaba ya "Rafiki yake"
Sikumla na sikumuoa,ila niliishi nae wakat huo kama dem wangu ingawaje nilikuwa simhudumii lakin nilikuwa namtoa out,namkumbatia namshika popote napotaka isipokuwa kwenye mbunyeKwahiyo huku muoa, je kumla ulimla?
Kuna nyuzi nyingine ni za kipuuzi kama hii. Mahali nitoe mimi, Pete ninunue mimi halafu anipangie siku ya kufanya tendo.Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake? Nimemwambia afanye tendo usiku wa ndoa yeye akasema anaogopa mke wake akamuwazia vibaya kwamba alimuoa kwa tamaa za kimwili na kwamba ni malaya.
Mpenzi ushauri jamaa
N. B MIKI NI KATAA NDOA
Lala mapema kesho shuleSiku yetu nitakua na viagra za akiba
Shida ya kuanza mapenzi uzeeni 🤣🤣🤣Jamaa anaona aibu kufanya tendo
Ndiyo maana nasema aachane na tendo la ndoa, afanye mambo mengine...Sawa blo, kwahiyo aoe au? Maana anasema yeye tendo sio kipaumbele chake
Bangi zilizokubuhu🤣Hizi sasa bangi
Sawa blazaNdiyo maana nasema aachane na tendo la ndoa, afanye mambo mengine...
Jamaa ni wale watu wa pole sanaShida ya kuanza mapenzi uzeeni 🤣🤣🤣
😜😜Niende shule mara ngapiLala mapema kesho shule
😜😜Niende shule mara ngapiLala mapema kesho shule
Jamaa muoga sana hata nyapi haujui ipoje na inakata wapi pia demu ni biklaKwaujibu wa dini yangu mimi.
Kama umemuoa, kisha hujatia ndonga, aah, bado ndoa haijakamilika ukifa hata eda mwanamke hakai, yaani mfano, nimekuja kuoa tandale, ndoa ikafungwa hatujapata wasaa wa kulala wala kuwa pamoja, wakati tunarudi tukapata ajali, ama nikafa kwa namna yoyote basi mke wangu hakai eda(hakai zile siku za matazamio, huenda alikuwa na mimba yangu ama lah)
Mwambie apige MUCHINGA, isije mwanamke akahisi kaolewa na PUNGA ZEZE.
Jamaa mwenyewe ndio anamuonea aibu mwanamkeKuna nyuzi nyingine ni za kipuuzi kama hii. Mahali nitoe mimi, Pete ninunue mimi halafu anipangie siku ya kufanya tendo.
Demu wako kiaje wakati umesema hukumla! Amka kijana unahudumia sio wa kwako alafu nyapi anapewa mwingineSikumla na sikumuoa,ila niliishi nae wakat huo kama dem wangu ingawaje nilikuwa simhudumii lakin nilikuwa namtoa out,namkumbatia namshika popote napotaka isipokuwa kwenye mbunye
Sasa alimtongozaje?Jamaa mwenyewe ndio anamuonea aibu mwanamke