Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000
Unasumbuliwa na:Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo
Lini uliwahi kuwa wa haki hadi tuseme ulikuwa wa haki?Lini mliwahi kusema uchaguzi n wa haki
45,000,000,000/= hio kwa presidaa ni hela ya kitoto sana.Pikipiki moja ni 2500000 huyu Mama "Uza Uza" kaleta Pikipiki 18000 hizo fedha kazitoa wapi?!
Wahuni siyo WatuSidhani kama waliowahi kujiandaa hivi walifikia dhamira yao ya kukalia kiti!
Lowasa ni funzo kubwa sana!
Hizo mbona ni mwanzo tu kwa ajili ya kuzolea viti vya serikali za mitaa. Mambo kamili mwakani.Pikipiki moja ni 2500000 huyu Mama "Uza Uza" kaleta Pikipiki 18000 hizo fedha kazitoa wapi?!
Pikipiki moja ni 2500000 huyu Mama "Uza Uza" kaleta Pikipiki 18000 hizo fedha kazitoa wapi?!
Sio wa haki na kila uchaguzi mnashiriki au siyoLini uliwahi kuwa wa haki hadi tuseme ulikuwa wa haki?
Kulialia huko hakutawasaidia kushinda uchaguzi. Unazikumbuka Pick ups Double Cabins za M4C na helkopta ya Mbowe? Mbona CCM hawakupiga kelele?Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.
Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.
Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili waunganishe na Loliondo, kumbuka Longido imepakana na Loliondo hivyo Mwarabu anataka apewa pia Longido ambapo kuna baadhi ya Vijiji wananchi watahamishwa mapema baada ya uchaguzi Mkuu.
Pikipiki zimetangulia zisaidie uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila Magari na Helcopta inadaiwa ni kwa ajili ya mwakani, Helcopta italetwa mapema mwisho mwa mwaka huu au mapema mwakani ikiwa pia ni pamoja na Toyota Landcluser 400 ambazo pia zinaandaliwa na zitaanza kuingia mwisho wa mwaka huu na hizi ni special order kutoka kiwandani make zitakuja zikiwa na rangi ya kijani kutoka Japani na pia zinatakuwa na picha ya Raisi Samia.
Kampeni za mwakani huenda tukawa hatujawahi shujudia.
View attachment 3013272
View attachment 3013277
Pia soma: Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Ndani ya miaka miwili Chadema wamepata ruzuku ya 2B, sasa jiulize ccm wanakula B zao ngapi kila mwaka.Mwarabu. CCM hawana pesa hiyo... Hii nchi itakuwa imeuzwa tayari kwa Tamaa ya madaraka.
Ndugu nazungumzia personal gains! Umeshavuta mshiko umekaa kando! Utaanza kujiona mjinga au mjanja?Kwa ujinga unaweza kuunga mkono juhudi lakini baada ya miaka miwili utajuta na kujiona mjinga sana!
Tunashiriki Mimi na nani huo upuuzi uitwao uchaguzi?Sio wa haki na kila uchaguzi mnashiriki au siyo
Duuh noma sanaMaandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.
Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.
Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili waunganishe na Loliondo, kumbuka Longido imepakana na Loliondo hivyo Mwarabu anataka apewa pia Longido ambapo kuna baadhi ya Vijiji wananchi watahamishwa mapema baada ya uchaguzi Mkuu.
Pikipiki zimetangulia zisaidie uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila Magari na Helcopta inadaiwa ni kwa ajili ya mwakani, Helcopta italetwa mapema mwisho mwa mwaka huu au mapema mwakani ikiwa pia ni pamoja na Toyota Landcluser 400 ambazo pia zinaandaliwa na zitaanza kuingia mwisho wa mwaka huu na hizi ni special order kutoka kiwandani make zitakuja zikiwa na rangi ya kijani kutoka Japani na pia zinatakuwa na picha ya Raisi Samia.
Kampeni za mwakani huenda tukawa hatujawahi shujudia.
View attachment 3013272
View attachment 3013277
Pia soma: Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Pesa anakula Mbowe peke yakeChadema nyie mmetulia tuu hata hamgawi kanga kwa akina mama au nyie hamna pesa?
Tena kwa gharama za kuuza rasilimali za nchi!!Mama anataka apige kampeni za kutisha
45,000,000,000/= hio kwa presidaa ni hela ya kitoto sana.