Pre GE2025 Baada ya kugawa pikipiki za Samia, inadaiwa pia kuna Helkopta na Magari 400 kwaajili ya Kampeni za mwakani

Pre GE2025 Baada ya kugawa pikipiki za Samia, inadaiwa pia kuna Helkopta na Magari 400 kwaajili ya Kampeni za mwakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chopper tena?
Mnatutisha sasa
Nchi masikini shida sana
Wao wameendelea kwa mikataba yenye tija ndio maana leo wako kwenye neema
Sisi tunabadilisha na uchaguzi daa
Poleni sana nilisema mtasogezwa mpaka nusu ya nchi iwe yao Kama ni kweli
 
Pikipiki moja ni 2500000 huyu Mama "Uza Uza" kaleta Pikipiki 18000 hizo fedha kazitoa wapi?!
Hizo mbona ni mwanzo tu kwa ajili ya kuzolea viti vya serikali za mitaa. Mambo kamili mwakani.
 
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.

Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.

Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili waunganishe na Loliondo, kumbuka Longido imepakana na Loliondo hivyo Mwarabu anataka apewa pia Longido ambapo kuna baadhi ya Vijiji wananchi watahamishwa mapema baada ya uchaguzi Mkuu.

Pikipiki zimetangulia zisaidie uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila Magari na Helcopta inadaiwa ni kwa ajili ya mwakani, Helcopta italetwa mapema mwisho mwa mwaka huu au mapema mwakani ikiwa pia ni pamoja na Toyota Landcluser 400 ambazo pia zinaandaliwa na zitaanza kuingia mwisho wa mwaka huu na hizi ni special order kutoka kiwandani make zitakuja zikiwa na rangi ya kijani kutoka Japani na pia zinatakuwa na picha ya Raisi Samia.

Kampeni za mwakani huenda tukawa hatujawahi shujudia.

View attachment 3013272
View attachment 3013277

Pia soma: Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Kulialia huko hakutawasaidia kushinda uchaguzi. Unazikumbuka Pick ups Double Cabins za M4C na helkopta ya Mbowe? Mbona CCM hawakupiga kelele?
 
Mwarabu. CCM hawana pesa hiyo... Hii nchi itakuwa imeuzwa tayari kwa Tamaa ya madaraka.
Ndani ya miaka miwili Chadema wamepata ruzuku ya 2B, sasa jiulize ccm wanakula B zao ngapi kila mwaka.
 
Kwa ujinga unaweza kuunga mkono juhudi lakini baada ya miaka miwili utajuta na kujiona mjinga sana!
Ndugu nazungumzia personal gains! Umeshavuta mshiko umekaa kando! Utaanza kujiona mjinga au mjanja?
 
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.

Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.

Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili waunganishe na Loliondo, kumbuka Longido imepakana na Loliondo hivyo Mwarabu anataka apewa pia Longido ambapo kuna baadhi ya Vijiji wananchi watahamishwa mapema baada ya uchaguzi Mkuu.

Pikipiki zimetangulia zisaidie uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila Magari na Helcopta inadaiwa ni kwa ajili ya mwakani, Helcopta italetwa mapema mwisho mwa mwaka huu au mapema mwakani ikiwa pia ni pamoja na Toyota Landcluser 400 ambazo pia zinaandaliwa na zitaanza kuingia mwisho wa mwaka huu na hizi ni special order kutoka kiwandani make zitakuja zikiwa na rangi ya kijani kutoka Japani na pia zinatakuwa na picha ya Raisi Samia.

Kampeni za mwakani huenda tukawa hatujawahi shujudia.

View attachment 3013272
View attachment 3013277

Pia soma: Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Duuh noma sana
Kweli Africa bado tupo utumwani walahi
 
Tatizo nchi hii wapinzani sio wabunifu. Wanabaki kulialia tu. Wapinzani wangekuwa wabunifu badala ya kulialia wangetumia hizo hizo pikipiki kumkaanga vibaya sana kwa wanachi huyo aliyezileta mpaka azikane sio yeye aliyezileta. Kumbuka yaliyotokea juzi kati hapo Mbagala tu kwenye goli 1 milioni kumi.

Na hata wale watoa rushwa kwenye chaguzi za vyama vyote wangekoma kutoa rushwa maana pesa zingekuwa zinaliwa halafu anachaguliwa mtu makini. Anyway ngoja nisiwasanue ni waache waendelee kulala wakati wenzao CCM wapo mbele ya muda.
 
45,000,000,000/= hio kwa presidaa ni hela ya kitoto sana.

Kwa mapato gani halali? Hata kama mshahara wa Samia ungekuwa shilingi milioni 100 kwa mwezi, kwa muda aliokaa madarakani 36 x 100m = inakuwa bilioni 3.6 tu. Hata kwa malipo ya bilioni 1 kwa mwezi, bado hazifiki kiasi hicho!! Kwa vyovyote kama ni pesa yake basi huyu ni fisadi kupindukia, na record yake itakuwa ni ya Dunia.
 
Back
Top Bottom