BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
- Thread starter
-
- #61
We huna unacho jua endelea kulamba watu miguu,Unasumbuliwa na:
umbeya
tabia ya kutoa habari bila ya kutumwa
Maana nyingine: udaku, kilimilimi, fukufuku, uheke, uzandiki
Kuna watu wanatoa kama zawadi mkuu, Kuna watu wamepewa mapande ya aridhi hao ndio wanao toa zawadi sasaKwa mapato gani halali? Hata kama mshahara wa Samia ungekuwa shilingi milioni 100 kwa mwezi, kwa muda aliokaa madarakani 36 x 100m = inakuwa bilioni 3.6 tu. Hata kwa malipo ya bilioni 1 kwa mwezi, bado hazifiki kiasi hicho!! Kwa vyovyote kama ni pesa yake basi huyu ni fisadi kupindukia, na record yake itakuwa ni ya Dunia.
Wewe uko kundi gani? Upinzamia ni Ideology sio mtu,Tatizo nchi hii wapinzani sio wabunifu. Wanabaki kulialia tu. Wapinzani wangekuwa wabunifu badala ya kulialia wangetumia hizo hizo pikipiki kumkaanga vibaya sana kwa wanachi huyo aliyezileta mpaka azikane sio yeye aliyezileta. Kumbuka yaliyotokea juzi kati hapo Mbagala tu kwenye goli 1 milioni kumi.
Na hata wale watoa rushwa kwenye chaguzi za vyama vyote wangekoma kutoa rushwa maana pesa zingekuwa zinaliwa halafu anachaguliwa mtu makini. Anyway ngoja nisiwasanue ni waache waendelee kulala wakati wenzao CCM wapo mbele ya muda.
Mwashambwa AKA mke wa bashite kuja utoe neno maana boda boda huku wanabubujikwa na machozi ya geresha.Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.
Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.
Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili waunganishe na Loliondo, kumbuka Longido imepakana na Loliondo hivyo Mwarabu anataka apewa pia Longido ambapo kuna baadhi ya Vijiji wananchi watahamishwa mapema baada ya uchaguzi Mkuu.
Pikipiki zimetangulia zisaidie uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila Magari na Helcopta inadaiwa ni kwa ajili ya mwakani, Helcopta italetwa mapema mwisho mwa mwaka huu au mapema mwakani ikiwa pia ni pamoja na Toyota Landcluser 400 ambazo pia zinaandaliwa na zitaanza kuingia mwisho wa mwaka huu na hizi ni special order kutoka kiwandani make zitakuja zikiwa na rangi ya kijani kutoka Japani na pia zinatakuwa na picha ya Raisi Samia.
Kampeni za mwakani huenda tukawa hatujawahi shujudia.
View attachment 3013272
View attachment 3013277
Pia soma: Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
rushwa tupuPikipiki moja ni 2500000 huyu Mama "Uza Uza" kaleta Pikipiki 18000 hizo fedha kazitoa wapi?!
Nimeamini nchi hii rushwa haitakuja iishe kama mambo ndo haya tena kutoka juu basi.Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.
Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.
Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili waunganishe na Loliondo, kumbuka Longido imepakana na Loliondo hivyo Mwarabu anataka apewa pia Longido ambapo kuna baadhi ya Vijiji wananchi watahamishwa mapema baada ya uchaguzi Mkuu.
Pikipiki zimetangulia zisaidie uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila Magari na Helcopta inadaiwa ni kwa ajili ya mwakani, Helcopta italetwa mapema mwisho mwa mwaka huu au mapema mwakani ikiwa pia ni pamoja na Toyota Landcluser 400 ambazo pia zinaandaliwa na zitaanza kuingia mwisho wa mwaka huu na hizi ni special order kutoka kiwandani make zitakuja zikiwa na rangi ya kijani kutoka Japani na pia zinatakuwa na picha ya Raisi Samia.
Kampeni za mwakani huenda tukawa hatujawahi shujudia.
View attachment 3013272
View attachment 3013277
Pia soma: Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Jibu Hoja.Hizo mbona ni mwanzo tu kwa ajili ya kuzolea viti vya serikali za mitaa. Mambo kamili mwakani.
Mshahara wake ni Shilingi ngapi?!45,000,000,000/= hio kwa presidaa ni hela ya kitoto sana.
Sijui ni bei gani ila kwa hela anazokopa nje hio pesa kuwa nayo binafsi ni swala la kumpa order yule mvaa tai ya bendera tu.Mshahara wake ni Shilingi ngapi?!
Ndicho ninachokiona!wanakuchomeka unaanza kampeni mapema unafuja fedha za jamhuri muda ukifika hai hao wahuni wanapiga hesabu ya hasara ulizosababisha halafu wataonhezea eti wajeda hawakutaki ukalie kiti au makomando!ndio unashangaa eti imekuaje!Wahuni siyo Watu
Kisiwa cha Nungwi chao Kisiwa cha Mafia cha wote huu Muungano gani wa Kindezi hivi?!.Nasikia wameuza kisiwa Cha mafia
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.
Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.
Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili waunganishe na Loliondo, kumbuka Longido imepakana na Loliondo hivyo Mwarabu anataka apewa pia Longido ambapo kuna baadhi ya Vijiji wananchi watahamishwa mapema baada ya uchaguzi Mkuu.
Pikipiki zimetangulia zisaidie uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila Magari na Helcopta inadaiwa ni kwa ajili ya mwakani, Helcopta italetwa mapema mwisho mwa mwaka huu au mapema mwakani ikiwa pia ni pamoja na Toyota Landcluser 400 ambazo pia zinaandaliwa na zitaanza kuingia mwisho wa mwaka huu na hizi ni special order kutoka kiwandani make zitakuja zikiwa na rangi ya kijani kutoka Japani na pia zinatakuwa na picha ya Raisi Samia.
Kampeni za mwakani huenda tukawa hatujawahi shujudia.
View attachment 3013272
View attachment 3013277
Ujinga huu utamalizwa na watu bold kama TAL! sasa ni rasmi tumepelekwa mdani na bei tumepata nayo ni kununua urais 2025- Nchi imebinafsishwa rasmi