Pre GE2025 Baada ya kugawa pikipiki za Samia, inadaiwa pia kuna Helkopta na Magari 400 kwaajili ya Kampeni za mwakani

Pre GE2025 Baada ya kugawa pikipiki za Samia, inadaiwa pia kuna Helkopta na Magari 400 kwaajili ya Kampeni za mwakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa mapato gani halali? Hata kama mshahara wa Samia ungekuwa shilingi milioni 100 kwa mwezi, kwa muda aliokaa madarakani 36 x 100m = inakuwa bilioni 3.6 tu. Hata kwa malipo ya bilioni 1 kwa mwezi, bado hazifiki kiasi hicho!! Kwa vyovyote kama ni pesa yake basi huyu ni fisadi kupindukia, na record yake itakuwa ni ya Dunia.
Kuna watu wanatoa kama zawadi mkuu, Kuna watu wamepewa mapande ya aridhi hao ndio wanao toa zawadi sasa
 
Tatizo nchi hii wapinzani sio wabunifu. Wanabaki kulialia tu. Wapinzani wangekuwa wabunifu badala ya kulialia wangetumia hizo hizo pikipiki kumkaanga vibaya sana kwa wanachi huyo aliyezileta mpaka azikane sio yeye aliyezileta. Kumbuka yaliyotokea juzi kati hapo Mbagala tu kwenye goli 1 milioni kumi.

Na hata wale watoa rushwa kwenye chaguzi za vyama vyote wangekoma kutoa rushwa maana pesa zingekuwa zinaliwa halafu anachaguliwa mtu makini. Anyway ngoja nisiwasanue ni waache waendelee kulala wakati wenzao CCM wapo mbele ya muda.
Wewe uko kundi gani? Upinzamia ni Ideology sio mtu,
 
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.

Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.

Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili waunganishe na Loliondo, kumbuka Longido imepakana na Loliondo hivyo Mwarabu anataka apewa pia Longido ambapo kuna baadhi ya Vijiji wananchi watahamishwa mapema baada ya uchaguzi Mkuu.

Pikipiki zimetangulia zisaidie uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila Magari na Helcopta inadaiwa ni kwa ajili ya mwakani, Helcopta italetwa mapema mwisho mwa mwaka huu au mapema mwakani ikiwa pia ni pamoja na Toyota Landcluser 400 ambazo pia zinaandaliwa na zitaanza kuingia mwisho wa mwaka huu na hizi ni special order kutoka kiwandani make zitakuja zikiwa na rangi ya kijani kutoka Japani na pia zinatakuwa na picha ya Raisi Samia.

Kampeni za mwakani huenda tukawa hatujawahi shujudia.

View attachment 3013272
View attachment 3013277

Pia soma: Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Mwashambwa AKA mke wa bashite kuja utoe neno maana boda boda huku wanabubujikwa na machozi ya geresha.
 
TANZANIA YAWEKWA KANDO KISA SAMIA KUUZA ARDHI KWA WAARABU

✍🏻Kwa ufupi sana kinachoendelea hapa; jumuia ya nchi za ulaya imeiondoa tz kwenye orodha ya nchi zinapokea msaada wa uhifadhi. Sababu inaelezwa kwamba ni ukiukwaji wa haki za binadamu!!!. Wametoa maelezo marefu ikiwemo ngorongoro, kiteto, longido, uwanja wa ndege wa KIA , nk Wameendelea kusema tunawaondoa wahifadhi wa mazingira kwa kutumia nguvu za kijeshi!!!. Wanaendelea kueleza kuwa tumeshindwa kuheshimu maarifa ya uhifadhi wa asili katika mazingira.
✍🏻Wanaendelea kueleza kwamba tunakiuka haki za binadamu kwa kuhamisha watu kutoka katika makazi yao ya asili ili tuongeze hifadhi, kuweka mapito ya wanyama, kutenga vitalu vya uwindaji huku kwa njia moja au nyingine tukithamini sana wanyama kuliko binadamu!!!. Na kwamba binadamu wanaachwa kuishi katika mazingira magumu huku tukikumbatia wanyama.
✍🏻Ikumbukwe kwamba tunakusanya trillion 21 bajeti yetu trillion 44 kulipa madeni trillion 13. Ndio kusema sehemu kubwa ya bajeti inategemea misaada na washika dau wakubwa ni hao. Kwa uchunguzi wangu wa haraka haraka inaonesha kuwa huenda hawa watalii wakakataliwa na hizo nchi zao kuja tz. Ikitokea hivyo tumepoteza mapato makubwa, waarabu sio watalii!!!.
Mambo ya kujiuliza, je, hii inaweza kuwà vita ya kiuchumi ambayo tumezidiwa akili kidogo tu na Jirani? Anatumia mbinu za medani za kiuchumi na diplomatic? Wakati sisi tunatumia nguvu Kuhamisha watu bila kuona upande wa pili wa shillingi?.

✍🏻Sisi tumeandaa na Pop corn 🌽 kushuhudia sinema hiii,

anzisheni [national intelligence Research University (NIRU)] kuwasaidia kuja na majibu yanayohusu maamuzi mazito na mstakabali wa Taifa.
 
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.

Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.

Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili waunganishe na Loliondo, kumbuka Longido imepakana na Loliondo hivyo Mwarabu anataka apewa pia Longido ambapo kuna baadhi ya Vijiji wananchi watahamishwa mapema baada ya uchaguzi Mkuu.

Pikipiki zimetangulia zisaidie uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila Magari na Helcopta inadaiwa ni kwa ajili ya mwakani, Helcopta italetwa mapema mwisho mwa mwaka huu au mapema mwakani ikiwa pia ni pamoja na Toyota Landcluser 400 ambazo pia zinaandaliwa na zitaanza kuingia mwisho wa mwaka huu na hizi ni special order kutoka kiwandani make zitakuja zikiwa na rangi ya kijani kutoka Japani na pia zinatakuwa na picha ya Raisi Samia.

Kampeni za mwakani huenda tukawa hatujawahi shujudia.

View attachment 3013272
View attachment 3013277

Pia soma: Lissu: Wasijifiche nyuma ya msikiti, waje hadharani tuyaseme matendo yao maovu
Nimeamini nchi hii rushwa haitakuja iishe kama mambo ndo haya tena kutoka juu basi.
 
Wahuni siyo Watu
Ndicho ninachokiona!wanakuchomeka unaanza kampeni mapema unafuja fedha za jamhuri muda ukifika hai hao wahuni wanapiga hesabu ya hasara ulizosababisha halafu wataonhezea eti wajeda hawakutaki ukalie kiti au makomando!ndio unashangaa eti imekuaje!

Au wanakuambia ukishinda utasababisha vita coz umeonekana wewe sio mshirika mzuri was marekani Kama Kenya ilivyo Sasa utatuingiza kwenye machafuko !!!

ACHA kabisa!
 
Maandalizi ya kampeni za mwakani yameisha kamilika upande wa Mama na kilichobakia ni kipenga kipulizwe tu.

Inadaiwa Pikipiki zaidi ya 18,000 ni zawadi kutoka UAE na pia kuna Helcopta moja na Magari 400.

Inadaiwa hawa ndio wanao miliki Loliondo na pia wanataka kupewa eneo la Poli la Longido ili waunganishe na Loliondo, kumbuka Longido imepakana na Loliondo hivyo Mwarabu anataka apewa pia Longido ambapo kuna baadhi ya Vijiji wananchi watahamishwa mapema baada ya uchaguzi Mkuu.

Pikipiki zimetangulia zisaidie uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ila Magari na Helcopta inadaiwa ni kwa ajili ya mwakani, Helcopta italetwa mapema mwisho mwa mwaka huu au mapema mwakani ikiwa pia ni pamoja na Toyota Landcluser 400 ambazo pia zinaandaliwa na zitaanza kuingia mwisho wa mwaka huu na hizi ni special order kutoka kiwandani make zitakuja zikiwa na rangi ya kijani kutoka Japani na pia zinatakuwa na picha ya Raisi Samia.

Kampeni za mwakani huenda tukawa hatujawahi shujudia.

View attachment 3013272
View attachment 3013277
Ujinga huu utamalizwa na watu bold kama TAL! sasa ni rasmi tumepelekwa mdani na bei tumepata nayo ni kununua urais 2025- Nchi imebinafsishwa rasmi
 
Aje hata na majet ya kirusi au kimarekani miaka hii SSH atakunya blue hakuna namna wote tutamkataa kwa sauti! TAL endelea tunajipanga kupaza ya kumkataa huyu dalali! DALALI wa Raslimali za tanganyika awahi ghuba kwa mabwana zake! Na yeyote atakayetuzuia atajuta kutufahamu!!
 
Na Kumbusho Dawson

Malisa GJ amepewa Jumla ya kesi sita na zote chanzo chake Ni bwana Adolf Mkenda au wizara anayoiongoza:

1. Malisa anatuhumiwa kutoa taarifa za uongo kuhusu Lucas Tarimo aliyemuua Beatrice Minja kwa kumchoma visu 25 huko Rombo.

2. Anadaiwa kuhamasisha chuki baada ya kutoa taarifa ya kifo cha mtoto Jonathan Shayo ambaye alichapwa viboko shuleni (Uru) na kupelekea kifo chake. Mpaka sasa mwalimu aliyehusika yuko mahabusu.

3. Anadaiwa kutoa taarifa bila kibali kwa kuripoti habari ya waalimu waliosahihisha mitihani kituo cha Korogwe TTC bila kulipwa hela zao. Malisa aliandika kuwatetea ili walipwe stahiki zao, lakini anaambiwa kuwa alipaswa kuomba kibali kwanza toka wizarani ili aweze kuchapisha kwenye mitandao yake YA kijamii.Hii Ni MAAJABU 😂

4. Anadaiwa kusababisha taharuki kwa kuchambua tahasusi mpya za kidato cha 5 baada ya kuhoji kwanini masomo ya dini yamewekwa kwenye tahasusi hizo?. Itakumbukwa kwamba mwaka Huu wizara YA Elimu katika Hali YA kustaajabisha iliongeze tahasusi kutoka 16 Hadi 46, walitaka Malisa akae kimya😂

5. Anatuhumiwa kutoa taarifa za upotoshaji mwaka jana baada ya kuhoji kwanini shule ya Sekondari Anuarite iliyopata division one zote haikuingia top 10 kitaifa, lakini Feza Boys iliyopata division 1 hadi 3 ilikua ya 7 kitaifa?

6. Anadaiwa kuchochea chuki na kuleta taharuki kwa kuripoti taarifa kuwa wanafunzi wa shule za sekondari Arusha wanachukuliwa kwenda kujaza idadi kwenye mikutano ya CCM.

Juzi nilisema hapa kwamba tusiwaite watoto wetu majina YA kidikteta, majina huumba.

Nilitolea mfano wa dikteta Adolf Hitler kwamba aliwaua wayahudi Milioni 6.

Nawapa home work (assignment), mnadhani Kwa Nini kesi zote sita (6) zimhusishe Waziri Mkenda au wizara anayo iongoza YA Elimu?

Mambo Yote anayo tuhumiwa nayo Malisa si yeye pekee ambaye amekuwa anaripoti, watu wengi wameripoti swali la msingi ni kwanini hawakamatwi? Hii inaonesha kuwa Mkenda alidhamiria kupambana na Malisa kwa kutumia vibaya madaraka yake.

Mkenda alipewa uwaziri ili asaidie elimu ya nchi hii, sio kutumia vibaya madaraka yake kupambana na watu kwa chuki zake binafsi.

Rais @samia_suluhu_hassan unapaswa kumuondoa Adolf Mkenda maana haziishi zile falsafa zako NNE
 
Tanzania ya sasa ni mihela kila kona, wewe tu uamue unaenda wapi kuchota hela..
 
Back
Top Bottom