GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni hatari sana bibi empty headed na mpenda misifa, kusifiwa,asiyejiamini, asiye na content ni hatari huko nchi ya HaitiNa cha Kushangaza Viongozi wao ( wa Mataifa ya Wazungu, Waeshia na Waarabu ) hawana hata muda wa Kuwazia kupokea Tuzo za Vidigrii vya Kipuuzi Kipuuzi bali wako busy kupambania Maendeleo ya Mataifa yao, ila wa huku Kwetu Afrika ( ukiwaondoa wenye Akili Kubwa Museveni na Kagame ambao GENTAMYCINE nawakubali sana ) kutwa wanahangaika nazo wakidhani ndizo zitawaletea Maendeleo Wananchi wao ambao 85% wana Uzuzu mwingi hadi Wanakera.
Ngoja niendelee kusoma Notes zangu za Somo Tamu na ninalolipenda la Logic and Critical Thinking nililolisoma Vyuo Vikuu vya Kisiwani Puerto Rico na kule nchini Venezuela ili GENTAMYCINE niendelee kuwa Nondo Ubongoni mwangu.
GENTAMYCINE The great.Na cha Kushangaza Viongozi wao (wa Mataifa ya Wazungu, Waeshia na Waarabu) hawana hata muda wa Kuwazia kupokea Tuzo za Vidigrii vya Kipuuzi Kipuuzi bali wako busy kupambania Maendeleo ya Mataifa yao, ila wa huku Kwetu Afrika (ukiwaondoa wenye Akili Kubwa Museveni na Kagame ambao GENTAMYCINE nawakubali sana) kutwa wanahangaika nazo wakidhani ndizo zitawaletea Maendeleo Wananchi wao ambao 85% wana Uzuzu mwingi hadi Wanakera.
Ngoja niendelee kusoma Notes zangu za Somo Tamu na ninalolipenda la Logic and Critical Thinking nililolisoma Vyuo Vikuu vya Kisiwani Puerto Rico na kule nchini Venezuela ili GENTAMYCINE niendelee kuwa Nondo Ubongoni mwangu.
I appreciate Chief. Be blessed.GENTAMYCINE The great.
Nakukubali sana. The great honours the great.