Baada ya Kugundua Udhaifu wetu ipo Siku Wazungu, Waeshia na Waarabu watatuzawadia Digrii za Heshima za 'Ujuha Uliotukuka' Waafrika

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na cha Kushangaza Viongozi wao (wa Mataifa ya Wazungu, Waeshia na Waarabu) hawana hata muda wa Kuwazia kupokea Tuzo za Vidigrii vya Kipuuzi Kipuuzi bali wako busy kupambania Maendeleo ya Mataifa yao, ila wa huku Kwetu Afrika (ukiwaondoa wenye Akili Kubwa Museveni na Kagame ambao GENTAMYCINE nawakubali sana) kutwa wanahangaika nazo wakidhani ndizo zitawaletea Maendeleo Wananchi wao ambao 85% wana Uzuzu mwingi hadi Wanakera.

Ngoja niendelee kusoma Notes zangu za Somo Tamu na ninalolipenda la Logic and Critical Thinking nililolisoma Vyuo Vikuu vya Kisiwani Puerto Rico na kule nchini Venezuela ili GENTAMYCINE niendelee kuwa Nondo Ubongoni mwangu.
 
Na cha Kushangaza Viongozi wao ( wa Mataifa ya Wazungu, Waeshia na Waarabu ) hawana hata muda wa Kuwazia kupokea Tuzo za Vidigrii vya Kipuuzi Kipuuzi bali wako busy kupambania Maendeleo ya Mataifa yao, ila wa huku Kwetu Afrika ( ukiwaondoa wenye Akili Kubwa Museveni na Kagame ambao GENTAMYCINE nawakubali sana ) kutwa wanahangaika nazo wakidhani ndizo zitawaletea Maendeleo Wananchi wao ambao 85% wana Uzuzu mwingi hadi Wanakera.

Ngoja niendelee kusoma Notes zangu za Somo Tamu na ninalolipenda la Logic and Critical Thinking nililolisoma Vyuo Vikuu vya Kisiwani Puerto Rico na kule nchini Venezuela ili GENTAMYCINE niendelee kuwa Nondo Ubongoni mwangu.
Ni hatari sana bibi empty headed na mpenda misifa, kusifiwa,asiyejiamini, asiye na content ni hatari huko nchi ya Haiti
 
Wenye akili siku zote huwa wenye unyenyekevu,jambo ambalo hufanya kila anaye taka kumpatia kitu au ushauri ajiulize mara mbili mbili kwa kila ushauri au zawadi.Ila kwa wajinga hupenda sifa hivyo wajanja kucheza na ujinga huo kupata vitu au fursa.
 
Mbona tulishampatia sisi,au hii ya kwetu ni ipi? Na au haitambuliki worldwide?
 
Na cha Kushangaza Viongozi wao (wa Mataifa ya Wazungu, Waeshia na Waarabu) hawana hata muda wa Kuwazia kupokea Tuzo za Vidigrii vya Kipuuzi Kipuuzi bali wako busy kupambania Maendeleo ya Mataifa yao, ila wa huku Kwetu Afrika (ukiwaondoa wenye Akili Kubwa Museveni na Kagame ambao GENTAMYCINE nawakubali sana) kutwa wanahangaika nazo wakidhani ndizo zitawaletea Maendeleo Wananchi wao ambao 85% wana Uzuzu mwingi hadi Wanakera.

Ngoja niendelee kusoma Notes zangu za Somo Tamu na ninalolipenda la Logic and Critical Thinking nililolisoma Vyuo Vikuu vya Kisiwani Puerto Rico na kule nchini Venezuela ili GENTAMYCINE niendelee kuwa Nondo Ubongoni mwangu.
GENTAMYCINE The great.
Nakukubali sana. The great honours the great.
 
Back
Top Bottom