Kwa huyu CDF General Mkunda Rwanda na Kagame wangu itatupasa turejee upya katika drawing board ili Kuisoma upya Tanzania Kijeshi na Kimkakati japo kwa upande wa Usalama wao Tanzania iko Uchi ( Mtupu ) kwa Rwanda kwani tunaijua ndani nje mpaka Kujaza Watu wetu huko na wengine hata Kupandishwa Vyeo vya Kiidara huku Wengine nao wakiteuliwa kuwa Wakurugenzi, Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa, Makatibu wa Wizara na baadhi yao kuteuliwa upande wa Unaibu Waziri.
CDF General Mkunda atatusumbua mno RDF kwani amepikwa na ameiva vyema Kijeshi hasa upande wa Operation, Intelligence, Strategy na kule Special Force.
Hongereni Tanzania kwa kuwa nae!!!