We una shida ya akili we jamaa?! 🤔
Usipende kuropoka mambo ndugu pasi na kujua neg. effects zake kwa upande wako na maisha yako kwa ujumla pamoja na familia yako. Acha kuzungumza au kuandika mambo mitandaoni kutafuta kujikweza na sifa ndugu! Kuna wide range of people hapa with different classes anonimity! Angaliaga na vya kuandika...
Wewe ukamtumie kagame CV za CDF wa TANZANIA kwa misingi gani?! Nia yako ni nini?! Unayajua matokeo yake na madhara yake?
Halafu wewe nambari ya Kagame au mail yake uipatie wapi wewe?! Nagundua sasa kwanini watu huwa wanakudharau na kukutukana kutwa na kila siku. Ushabatizwa jina la POPOMA kutokana na uropokaji wako na kuandikaga vitu visivyo na maana. Unaropoka sana!
Jirekebishe ndugu na badilika. MTU MZIMA WEWE ...,Heshima huanza kujengwa na wewe mwenyewe kisha wengine watakupa heshima. Hata JF moderators washakuona una uwalakini wewe si bure!
Angalia ndugu... shauri yako 😊😊😊
Nina uzoefu mkubwa wa Kuwajibu na Kuwaelimisha Watu mliopungukiwa Akili kama Wewe.
Majibu yako.....
1. Huna Mamlaka ya Kunipangia nini cha Kuandika hapa JamiiForums na iwe mwanzo na mwisho kufanya hivi sawa?
2. Nimemuelezea CDF General Mkunda kama Mzalendo Halisi na Kufurahishwa na CV yake.
3. Kama CV za Majasusi wakubwa Tanzania, Viongozi na Watawala huwa tunazo, zipo na zinawekwa Wazi huyu CDF General Mkunda ni nani hadi tusiwe na yake?
4. Kwakuwa huna Akili utadhani kuwa huwa Nakurupuka tu ninapoandika kuhusu / kumhusu Rais Kagame wa Rwanda na Watutsi ila wenye Akili ( Watu wa TISS baadhi yao tena Wakubwa n wanaonijua hadi nilipo na Mimi ni nani ) wanajua kwanini huwa najifanya ni Mrwanda, namjua Rais Kagame na huwa najifanya Kuikandia Tanzania na kwa Taarifa yako tu huwa Wananishukuru kwani kwa Comments zenu huwa ni Msaada Kwao.
5. Kuhusu Moderators wa JamiiForums kuwa Wamenichoka na Wananipuuza huu utakuwa ni Mtizamo wako tu utokanao na kutokuwa Kwako na Akili.
Hivi Moderators wa JamiiForums wanaweza Kumchukia Member mwenye Followers 130 hadi 150+ hapa JamiiForums na ambaye kila Members 100 wakiingia JamiiForums ( Log In ) basi Members 50 ni lazima Wamsome / Wanisome GENTAMYCINE?
Na uache Kuwasemea Moderators wa JamiiForums kwani hawana Ubaya nami na sina pia Ubaya nao na ndiyo maana hata Juzi hapa hapa JamiiForums nilianzisha Uzi wa Kuwashukuru kwa Walichonifanyia na Kuniheshimisha Kwao.
6. Kumjua GENTAMYCINE na aina yake ya Kipekee ya Uwasilishaji wake hapa JamiiForums yakupasa uwe si Intelligent au Great Thinker lakini pia uwe ni Critical Thinker sifa zote ambazo kwa bahati mbaya huna na kamwe hutokuja kuwa nazo.
7. Mwisho tambua kuwa Mimi ndiyo GENTAMYCINE ( alias )
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer na Mshindi wa Tuzo ya Mwanachama Bora wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums sawa?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!
Cc:
Rusumo one