Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
We una shida ya akili we jamaa?! 🤔
Usipende kuropoka mambo ndugu pasi na kujua neg. effects zake kwa upande wako na maisha yako kwa ujumla pamoja na familia yako. Acha kuzungumza au kuandika mambo mitandaoni kutafuta kujikweza na sifa ndugu! Kuna wide range of people hapa with different classes anonimity! Angaliaga na vya kuandika...
Wewe ukamtumie kagame CV za CDF wa TANZANIA kwa misingi gani?! Nia yako ni nini?! Unayajua matokeo yake na madhara yake?
Halafu wewe nambari ya Kagame au mail yake uipatie wapi wewe?! Nagundua sasa kwanini watu huwa wanakudharau na kukutukana kutwa na kila siku. Ushabatizwa jina la POPOMA kutokana na uropokaji wako na kuandikaga vitu visivyo na maana. Unaropoka sana!
Jirekebishe ndugu na badilika. MTU MZIMA WEWE ...,Heshima huanza kujengwa na wewe mwenyewe kisha wengine watakupa heshima. Hata JF moderators washakuona una uwalakini wewe si bure!
Angalia ndugu... shauri yako 😊😊😊
Umembandika, ukambandua alafu ukamsiriba.
Mwisho, hiyo sio kazi yako ku-moderate vitu vinavyoandikwa humu. Waache mods kazi Hii.
Unachoweza ni kutoa Maoni yako tuu bila kumpangia mwingine namna ya kutoa Maoni yake