Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Komando wa vibwengoNdiyo
Nipo mimi , nikiwa cdf sikuwa na taaluma ya ukomandoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Komando wa vibwengoNdiyo
Nipo mimi , nikiwa cdf sikuwa na taaluma ya ukomandoo
Mwanaume ukishakuwa Mwiba tu huwezi tena kuwa na Akili sana sana utaanza Kutuonyesha jinsi ulivyo Mental Case na kuhitaji Tiba ya haraka Milembe Dodoma au Lutindi Tanga au Muhimbili National Hospital Dar es Salaam.Ndiyo
Nipo mimi , nikiwa cdf sikuwa na taaluma ya ukomandoo
PakistaniChai za myarwanda wa kibaigwa
Ni kweli, ni mstari unaobaki baada ya kuburuza kitu. Though jamaa nasikia si mnyamwezi.Mkunda ni jina la kinyamwezi,maana yake mburuzo
Hiyo cv yake iko wapi kwani wote tunaijua?Hakika Jeshi la Tanzania limempata anayelijua vyema na anayeliweza na Kuwamudu Maadui zote wa Ukanda na hata wale wa Kimataifa wakithubutu Kujitokeza.
Atalisaidia sana tu Jeshi letu la JWTZ.
😅😅😅 nimeona kuna mtu nilikuwa naongea naeNdomana kachaguliwa mnaa uyo balaa unambiwa alivyoingia maelekezo kama yoteeeee....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwana nimekusomaWewe naye unasoma lakini huelewi.
Ninachojua kuwa CDF wa sasa ni komandoo na sio mtu wa mchezo mchezo.Ni mtu wa kazi ngumu. Hana blah blah.Kwani kuna cdf huwa hana taaluma ya ukomandoo?
Ni Mtanzania,Huyu mwamba CDF ni wa Bunda au Mpwapwa mkuu? Hebu cheki vyema vyanzo vyako
Tulia wewe nanga hujui Nchi imelala au inatembea😂Ni Mtanzania,
Ukanda unakusaidia nini?
Shwaini!Tulia wewe nanga hujui Nchi imelala au inatembea😂
Mpufi mmwiiii iweweeeShwaini!
Acha wakusome! Hahahaha!Nina uzoefu mkubwa wa Kuwajibu na Kuwaelimisha Watu mliopungukiwa Akili kama Wewe.
Majibu yako.....
1. Huna Mamlaka ya Kunipangia nini cha Kuandika hapa JamiiForums na iwe mwanzo na mwisho kufanya hivi sawa?
2. Nimemuelezea CDF General Mkunda kama Mzalendo Halisi na Kufurahishwa na CV yake.
3. Kama CV za Majasusi wakubwa Tanzania, Viongozi na Watawala huwa tunazo, zipo na zinawekwa Wazi huyu CDF General Mkunda ni nani hadi tusiwe na yake?
4. Kwakuwa huna Akili utadhani kuwa huwa Nakurupuka tu ninapoandika kuhusu / kumhusu Rais Kagame wa Rwanda na Watutsi ila wenye Akili ( Watu wa TISS baadhi yao tena Wakubwa n wanaonijua hadi nilipo na Mimi ni nani ) wanajua kwanini huwa najifanya ni Mrwanda, namjua Rais Kagame na huwa najifanya Kuikandia Tanzania na kwa Taarifa yako tu huwa Wananishukuru kwani kwa Comments zenu huwa ni Msaada Kwao.
5. Kuhusu Moderators wa JamiiForums kuwa Wamenichoka na Wananipuuza huu utakuwa ni Mtizamo wako tu utokanao na kutokuwa Kwako na Akili.
Hivi Moderators wa JamiiForums wanaweza Kumchukia Member mwenye Followers 130 hadi 150+ hapa JamiiForums na ambaye kila Members 100 wakiingia JamiiForums ( Log In ) basi Members 50 ni lazima Wamsome / Wanisome GENTAMYCINE?
Na uache Kuwasemea Moderators wa JamiiForums kwani hawana Ubaya nami na sina pia Ubaya nao na ndiyo maana hata Juzi hapa hapa JamiiForums nilianzisha Uzi wa Kuwashukuru kwa Walichonifanyia na Kuniheshimisha Kwao.
6. Kumjua GENTAMYCINE na aina yake ya Kipekee ya Uwasilishaji wake hapa JamiiForums yakupasa uwe si Intelligent au Great Thinker lakini pia uwe ni Critical Thinker sifa zote ambazo kwa bahati mbaya huna na kamwe hutokuja kuwa nazo.
7. Mwisho tambua kuwa Mimi ndiyo GENTAMYCINE ( alias ) Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer na Mshindi wa Tuzo ya Mwanachama Bora wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums sawa?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!
Cc: Rusumo one
100%Kumbe komando
Ishiii! Ukuyomba kinenhe?Hakika Jeshi la Tanzania limempata anayelijua vyema na anayeliweza na Kuwamudu Maadui zote wa Ukanda na hata wale wa Kimataifa wakithubutu Kujitokeza.
Atalisaidia sana tu Jeshi letu la JWTZ.
Sikujua Sasa kuwa General ni lazima upigane vita yeye amepigana vipi vya Kagera kama mabeyo au100%
Ajapigana vita huyu jeshini kaingia baada ya vita ni coz tuu na shule alizofanya basi kawa General...Sikujua Sasa kuwa General ni lazima upigane vita yeye amepigana vipi vya Kagera kama mabeyo au