Baada ya kuipata CV ya Kiutendaji ya CDF General Mkunda niseme tu Shikamoo Kwake

Kwa huyu CDF General Mkunda Rwanda na Kagame wangu itatupasa turejee upya katika drawing board ili Kuisoma upya Tanzania Kijeshi na Kimkakati japo kwa upande wa Usalama wao Tanzania iko Uchi ( Mtupu ) kwa Rwanda kwani tunaijua ndani nje mpaka Kujaza Watu wetu huko na wengine hata Kupandishwa Vyeo vya Kiidara huku Wengine nao wakiteuliwa kuwa Wakurugenzi, Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa, Makatibu wa Wizara na baadhi yao kuteuliwa upande wa Unaibu Waziri.

CDF General Mkunda atatusumbua mno RDF kwani amepikwa na ameiva vyema Kijeshi hasa upande wa Operation, Intelligence, Strategy na kule Special Force.

Hongereni Tanzania kwa kuwa nae!!!
U know nothing kuhusu hii nchi mkuu. Unaweza kuhisi unaijua kumbe huijui. Kagame pamoja na kuwa ni agent wa CIA hapa East and central Africa bado sana mzee. Hicho unachokijua sio kwamba hapa hakijulikani Mzee. Bomu kubwa Kagame analoliunda hapo Rwanda ni ukabila tu. Post zote za juu jeshin na kila mahali ni watusi na hilo litakuja kumlipukia any time.
 
Rubbish and Nonsensical.
 
Kaka huyu jamaa inabidi tumpige na RPG mana masumbufu sana....[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom