Baada ya kuipata CV ya Kiutendaji ya CDF General Mkunda niseme tu Shikamoo Kwake

Ndiyo
Nipo mimi , nikiwa cdf sikuwa na taaluma ya ukomandoo
Mwanaume ukishakuwa Mwiba tu huwezi tena kuwa na Akili sana sana utaanza Kutuonyesha jinsi ulivyo Mental Case na kuhitaji Tiba ya haraka Milembe Dodoma au Lutindi Tanga au Muhimbili National Hospital Dar es Salaam.
 
Acha wakusome! Hahahaha!
 
Hakika Jeshi la Tanzania limempata anayelijua vyema na anayeliweza na Kuwamudu Maadui zote wa Ukanda na hata wale wa Kimataifa wakithubutu Kujitokeza.

Atalisaidia sana tu Jeshi letu la JWTZ.
Ishiii! Ukuyomba kinenhe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…