Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
Mzee wa kulog off sijakuona sikunyingi sana aise,mzima
Hatimaye nafikiri atafuatia Mama bata.Ameambatana na James Mbowe
Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
Nashukuru kama mzima,sisi ndio wale tusiofungiwa dirisha Mkuu,mpaka reform zifanyike😀Mimi ni mzima kabisa kiongozi,sijui Wewe mtia Nia wa ubunge,unagombea wapi nikuunge mkono?
Nalog off
Kweli bwana kama hawana aman vile ? 😂Hawataki kuiangalia camera. Bado mmoja.
Kabisaa mkuu. Kwa matatizo na vifo walivyopata watanzania wakipambania upinzani, hawa watu hawakutaliwa kuwa na amani namna hii mpaka muda huuHii nchi watu wapole Sana Hawa watu waliotuuza kwa muda mrefu walitakiwa kufanyiwa umafia mkubwa sana
Kwakwel tunastahil pole kama watanzania. Ndio maana Lissu akaona kama noma na iwe noma. Maana yake hata kwenye assasination trial ya Lissu lazima Mbowe alikua na namna alifahamuNa kuna watu walikua tayari kuifia Chadema,pole zao aisee
Jasusi Yericko Nyerere😂😂😂
Jasusi la mchongo